Chizicomputer niko njiani kutoa software yangu ambayo ita waunganisha wa jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chizicomputer niko njiani kutoa software yangu ambayo ita waunganisha wa jf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by edjizzo, Jan 9, 2011.

 1. edjizzo

  edjizzo Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanten
  SIUTANI NA WALA SIMA MASIALA NATAKA KUTOA SOFTWARE AMBAYO ITAWAUNGANISHA WANA JF
  NYIE MNASEMAJE NA ITAJI MCHANGO WENU ATA MAWAZO NA WANAO WEZA PROGLAMMING
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kutuunganisha how.... si tayari tupo connected... elezea features
   
 3. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yaleyale! Mwaka huu mbona kazi ipo
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hakuna elimu chini ya jua inayokwenda kwa jina hilo.
  Kaanze upya!
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama hujui kuandika Kiswahili kwa ufasaha unawezaje kufanya "Programming"?
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  labda Jamaa ni Mchina au Hajui English wala Kiswahili ila it does not matter sababu computer inaongea low level language, binary language on and off..... kwahiyo whatever language, jamaa can still do programming
   
 7. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ungetengeneza kisha uje nayo hapa utuambie inafanyaje kazi. Au ulitaka utengenezewe?
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  hapa problem ni kwamba inabidi atuambie features zake kama ni bora kuliko kilichopo hapa... ili tumshauri features nyingine na yeye through programming atengeneze na huo ndio mwanzo tu sababu inabidi itumike sana ili agundue bugs na kuzifix, baada ya hapo kuna marketing... in short this is a very complicated job unless agundue kitu ambacho hakipo sasa... hata hivyo kila Bill Gates watamwimbia idea yake... Ushauri wangu kama idea ni ground breaking aifanyie patent na kujaribu kuwauzia the big boys..
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwani tumetengana wana jf ss tupo connected mkuu
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mimi napenda moyo ulionao wa kujituma ila watu wanaokukosoa ndio tutakufanya uwe mkali zaidi . So dont take criticism personal

  Sasa swali langu unaanza kutoa software ina maana hii project ya blog yako http://chizicomputer.blogspot.com/ imekamilika?

  Mi nakuomba kabla hujahamia kwenye software itendee haki blog yako ipe muda na kusighulukia iwe presentable. zaidi.
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  point mkuu
   
 12. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  jamani mpeni dogo nafasi,kwani hamjapitia this foolish age of ugunduzi,you can tel by his use of language ,text tone and basic grammatical errors.if you cant tell the difference between proglaming and programing ,sasa ukija ktk C and C++ sijui utawezaje kuandika a full running project ,au ndo hzo academia za voda fasta,writing a working program by point and click bila kuandika a single line of code
   
 13. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  KAMA UNAHUWEZO WA KOMPUTER AU SHIDA BINAFSI HAPA NDIO SULUTION WELCOME
  hii ndiyo heading ya ChiziComputer Blogspot,,lol!! Komaa kaka mwanzo mgumu
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kujua lugha au English / Swahili Literacy is not a requirement in Computer Programming and Creativity Please Guys lets give the Dude all the help we can.... Bashing will not help!!
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  VoR

  Huyu kijana anahitaji msaada mwingine tofauti:

   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unataka kutengeneza jf nyingine wewe au?
   
 17. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kaazi kwelikweli dah!
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na wasi wasi na huyu mtoto kama alimaliza elimu yake ya msingi..... Hata hivyo anaonekana ni mtu ambaye anapenda kushare na watu kile alichonacho, anahitaji msaada wa kupelekwa shule ili akapanue wigo wake maana yupo gizani sana.....


  Dogo, Kwenda pale millenium tower wa Jack na kusurf huko hakuta kusaidia chochote jipange urudi shule kwanza. kama kuna msaada unahitaji unaweza kuniPM tukawasiliana kabla sijaondoka Bongo nikaangalia ni kwa jinsi gani naweza kukusaidia kwenye swala la elimu...
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,165
  Trophy Points: 280
  MS unapenda sana masihara
   
 20. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naomba ufanyie kazi maneno ya post yangu ya hawali tafadhali.
   
Loading...