Chite Spy

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,278
7,946
Kwenye miaka ya 1980s kulikuwa na mtu anaandika graffitti maarufu ikiitwa 'Chite Spy'. Graffiti hii ilikuwa inapatikana kwenye vituo vyote vya manasi ya UDA, kwenye vyoo bya umma, kwenye mabamgo ya matangazo na hata kwenye kingo za madaraja. Kwenye miaka ya 2000's sijawahi kuiona hii graffiti hadi leo hii. Maswali ninayotaka kuwauliza wana JF wakongwe ni kwamba; (1) Je huyu mwandishi wa Chite Spy alikuwa ni nani? (2) Je vyombo vya usalama vilishindwa kunmkamata? na (3) Je inawezekana alishafariki?
 
Hebu fikiri kidogo ,jaribu kufanya profile ya huyo 'spy'wako halafu jiulize, was it worth trying to nab him?and what was his crime?is he a sane person,what the context of his graffit the usalama would have wanted him?
 
Ndiyo maana nimetaka kujua
 
Back
Top Bottom