Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
:spy:Hadi babu Asprin?
:coffee:Babu kaenda kuvizia mida hii
:ban:Tena huyo mida hii yuko Bunju kwa Mama Njopeka Kilabuni,
anauvuta ugoro huku anashushia na Chang'aa.
:hat:me nilidhani babu ni mtu wa sigara kubwa na mvinyo za ukweli kumbe ni mtu wa chang'aa basi na pingu bila shaka ana piga!
:iamwithstupid:Yani zote hzo ni fumu fumu'
rinda lote kama ovalock.
:gossip:Hahahaha
hii ni hatari
:closed_2:Ndo hvo tena.
Talking behind babu's back?
BE WARNED!!...................:focus: