Chitchat Bila Bishanga Inawezekanaaaaaaa

Bishanga kule kunahitaji ngozi ngumu. Maana maudhi nje nje na ban zipo za kumwaga. Kule kutongozana marufuku. SHAURI YAKO
 
Hehehee The secretary umeharibika lol
Hayo maneno umeyatoa wapi?

Erick52 za miamko? Huyo Katibu ni mashauzi tu, kafa kaoza kwa Bishanga, asikuchanganyie mistari !
Alishaonjeshwa ile makitu ya asili ya Bukoba, ile ya kufanya kwa above'above ! Not goes far interior!
Chezeiiya maRemote ya Bk weyee!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh.... Judgement!! Watu mna misamiati nyie....LOL!

Umeoina Kipipi hiyo kumbe! Inahitaji vichwa vyenye kuona far about 200 km within a minute (kama wewe)
Yaani una'attack Ikulu ya Magogoni while mzinga umeelekea Buguruni.
 
Last edited by a moderator:
Erick52 za miamko? Huyo Katibu ni mashauzi tu, kafa kaoza kwa Bishanga, asikuchanganyie mistari !
Alishaonjeshwa ile makitu ya asili ya Bukoba, ile ya kufanya kwa above'above ! Not goes far interior!
Chezeiiya maRemote ya Bk weyee!

Jamani jamani mbona mwanipakazia miye huyu mbayuwayu wenu ambaye hatulii nani amtaka
 
Mnachosahau ni kuwa na wake zangu naondoka nao,sijui mtajimwaga na nani?

Hahahaaaa nimeipenda hii.....lazma wakufate nyuma wallaih espeshali naniliu mmmh nikimtaja hapa italeta zogo:wink2:
 
Back
Top Bottom