Chita aamuwa kumlea swala mtoto..............amini usiamini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chita aamuwa kumlea swala mtoto..............amini usiamini

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Baada ya Kuona picha hizi Inshallah utasema Subhanallah!!


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hawa wajinga wanasubiri akue anone wamalizane nae...
   
 3. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanamnenepesha aliwe baadaye
   
 4. wende

  wende JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sure saiz wanaona ni katepetepe mno. Ngoja atokee mzazi wa hako kaswala kama atabaki.
   
 5. P

  Pazi JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Hao wanacheza tu pamoja Uswazi wapangaji wanapogombana, Watoto urafiki bado upo palepale wa kucheza gololi hapo Baba mwenye nyumba akitokea huyo ni kushneeeeeeeee....
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  yaani from no where wamuache hivihivi, wakuwa wanamsubiri wa pili ili washibe.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  urafiki wa mashaka
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  wameshiba,ngoja wapate njaa
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  kawaida ya hawa kama wana watoto basi wanawapa training ili nao waone wamesumbuka. Hapa watamwachia then watoto wataanza kumkimbiza ila akiwazidi nguvu watasaidia
   
 10. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mkuu tuwekee na ile picha Baba Riz anavyolea mafisadi. Au umeshaifuta ktk tarakilishi yako?
   
 11. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kumbe hamjui tabia za wanyama kama hao.Hapo ni kwamba anawafundisha watoto wake jinsi ya kuwinda.Kinachotokea hapo ni kwamba huyo mtoto wa swala atakapojaribu kukimbia basi jukumu la watoto wa duma kumkamata na mchezo utaendelea hivyo hivyo mpaka watakapoamua kumla.Kaangalieni picha za wanyama mara kwa mara mtakutana na hicho kitu.


  Wakati sisi binadamu tunawafundisha watoto kwa njia mbali mbali ikiwamo kuwapeleka darasani, wanyama wao hutumia mbinu kama za aina hiyo kuwafundisha watoto wao jins ya ku-survive.
   
 12. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  ila wasiwasi wangu ni kwamba huyo dogo anaweza kufa kwa pressure kabla hata hawajamla.
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huo mchezo sio mzuri hapo dogo
  atazidi kukonda tuuu!
   
 14. Akami

  Akami Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanasubiri akue tu!Kuku wa kwako,manati ya nini,hawana haraka hao!
   
 15. The only

  The only JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  itakuwa mama chita alipoteza mtoto sasa kamfananisgha na huyo....naona vi braza vyake viko so excited
   
 16. B

  Bangantagooka Member

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, mie sishangai cheetah kumlea mtoto wa swala. Mwa 1992 kwenye mbuga ya Tsavo aligundulika simba jike aliyekuwa anamlea mtoto wa swala
  baada ya mama yake kuliwa mara tu baada ya kuzaa. alikuwa anamnyonyesha, na wanyama wengine walipomkaribia alipambana nao. Haya ni maajabu ya Mungu!!!
   
 17. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ndicho ninachokiona hapo nadhani ameshanusa harufu ya kifo na mwili wote umekufa ganzi basi anasubiri muda wake ufike lakini kama kufa ameshakufa kifikra...mbaya sana
   
 18. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lowassa na kikwete

  [​IMG]<!-- google_ad_section_end -->
   
 19. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Km wanyama tena kanivora anamlea hebivora kwa upendo sie binadamu tumeshindwa kabisa kupendana kisa njaa? Mungu anatupa somo hapo kuwa wanyama wamekuwa bora kuliko binadam now days
   
Loading...