Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Naona ndani ya wiki mbili thread za ndoto zimefululiza Chit-Chat,hadi jana wengine kuota vifo vya wenzao.
Sasa nadhani ni wakati muafaka Chit-Chat tuanzishiwe sub-forum ya ndoto,ili wenye vipaji vyao vya kuota wapost huko...lol!!
Au mnasemaje wana Chit-Chat?
Sasa nadhani ni wakati muafaka Chit-Chat tuanzishiwe sub-forum ya ndoto,ili wenye vipaji vyao vya kuota wapost huko...lol!!
Au mnasemaje wana Chit-Chat?