CHIT-CHAT:Ianzishwe sub-forum ya ndoto.

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,975
Naona ndani ya wiki mbili thread za ndoto zimefululiza Chit-Chat,hadi jana wengine kuota vifo vya wenzao.
Sasa nadhani ni wakati muafaka Chit-Chat tuanzishiwe sub-forum ya ndoto,ili wenye vipaji vyao vya kuota wapost huko...lol!!
Au mnasemaje wana Chit-Chat?
 
Ninapinga wazo lako,nadhani inatubidi tuwavumulie tu na nina imani ipo siku watakua na kuacha utoto....
 
Back
Top Bottom