Chit-Chat Church...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Wakuu,
Habari za asubuhi? Wengine ndio tunatoka job since yesterday ndio tunaingia majumbani kwetu now. As wakuu wengine washatangulia church, hebu watu wajitolee waendeshe ibada hapa sasa hivi ili nasi wengine tupate kubarikiwa kwa maana neno lasema wakusanyikapo wawili watatu katika jina langu nami hua kati kati yao (whether virtually or physically).,haya watumishi tuanze kazi.
 
Online Pastor, unaitwa kwa ajili ya mibaraka zaidi! Mimi nimefumba macho, nasubiri sala.
 
Naomba tulitafakari hili neno:

(Zaburi 27:4)
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.
 
6aa8bc860512a6a59e7f966dd3f1d8b3.jpg
 
Back
Top Bottom