Chiristopher Mbajo anayetarajiwa kugombea Ubunge Same Magharibi mwaka 2015 Atikisa Moshi

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
[h=3][/h]
KAMANDA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Jiji la Arusha, juzi walitikisa mji wa Moshi huku wakitaka wananchi kujiandaa kuchukua nchi kwa njia ya kura 2015.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Aslam Gereji, Kata ya Mawenzi, makamanda hao pia walitaka wananchi kuishinikiza Serikali, ili irejeshe mabilioni ya shilingi yaliyofichwa Uswisi.
Chiristopher Mbajo anayetarajiwa kugombea Ubunge Same Magharibi mwaka 2015, alihoji uhalali wa vyombo vya dola vya Tanzania, kuwabebesha wananchi jukumu la vigogo walioficha fedha Uswisi.

“Jukumu la kumchunguza mwananchi wa kawaida au kiongozi ni la vyombo vya dola lakini leo Zitto (Kabwe-Mbunge Kigoma Kaskazini) anatakiwa eti apeleke majina hii ni aibu,”alisema Mbajo.

Makaribisho katika ofisi ya chama

Pamoja na umri kuonekana kama unataka kumtupa mkono, mzee huyu alivutiwa na juudi za CHADEMA na kuamua kujiunga nayo
Kikosi kazi alicoambatana nacho. Wengi wao ni wenyeji na wakaazi wa Same
Mbajo akipata ufafanuzi kutoka kwa wenyeji wake
Wanachama wapya, mmoja wa wazee alielezwa kuwa mtu muhimu sana kwa CCM hapo awali kabla ya kuamua kujiunga na CHADEMA katika ziara hiyo ya Mbajo.

Kikao cha ndani, kujengeana uwezo na kuweka mikakati ya pamoja
Iliwalazimu pia kushiriki matukio ya kijamii kama hili la msiba ambalo walikutana nalo wakiwa ziarani kwa shughuli za kichama.
 
chris, regional manager mwenzangu MEDA hapo zamani,katika mradi wa HATI PUNGUZO,safi sana,jamaa ana uwezo mkubwa wa uogozi!jamaa ana msimamo,na mahiri katika kutetea haki!
 
Ahsante kwa taarifa hii iliyoambatana na picha. Naamini atashinda 2015. Aluta continua
 
[h=3][/h]
KAMANDA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Jiji la Arusha, juzi walitikisa mji wa Moshi huku wakitaka wananchi kujiandaa kuchukua nchi kwa njia ya kura 2015.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Aslam Gereji, Kata ya Mawenzi, makamanda hao pia walitaka wananchi kuishinikiza Serikali, ili irejeshe mabilioni ya shilingi yaliyofichwa Uswisi.
Chiristopher Mbajo anayetarajiwa kugombea Ubunge Same Magharibi mwaka 2015, alihoji uhalali wa vyombo vya dola vya Tanzania, kuwabebesha wananchi jukumu la vigogo walioficha fedha Uswisi.

“Jukumu la kumchunguza mwananchi wa kawaida au kiongozi ni la vyombo vya dola lakini leo Zitto (Kabwe-Mbunge Kigoma Kaskazini) anatakiwa eti apeleke majina hii ni aibu,”alisema Mbajo.

Makaribisho katika ofisi ya chama

Pamoja na umri kuonekana kama unataka kumtupa mkono, mzee huyu alivutiwa na juudi za CHADEMA na kuamua kujiunga nayo
Kikosi kazi alicoambatana nacho. Wengi wao ni wenyeji na wakaazi wa Same
Mbajo akipata ufafanuzi kutoka kwa wenyeji wake
Wanachama wapya, mmoja wa wazee alielezwa kuwa mtu muhimu sana kwa CCM hapo awali kabla ya kuamua kujiunga na CHADEMA katika ziara hiyo ya Mbajo.

Kikao cha ndani, kujengeana uwezo na kuweka mikakati ya pamoja
Iliwalazimu pia kushiriki matukio ya kijamii kama hili la msiba ambalo walikutana nalo wakiwa ziarani kwa shughuli za kichama.

msiba umegeuzwa mtaji w kisiasa
 
Back
Top Bottom