Chips Mayai: Bidhaa pekee iliyogunduliwa Tanzania tangu tupate Uhuru!

Tanzania ni nchi pekee dunia iliyogundua chakula kiitwacho Chips mayai. Hii ni kusema kuwa Tanzania ni moja ya mataifa yanayojita ya kigunduzi katika dunia ya tatu!

Hivyo tukiwa tunasherehekea miaka 50 ya huru tutatembea kifua mbele Mat*** nyuma tukijivunia ugunduzi huu.

Dar ndio sehemu kuu ya ugunduzi huu hasa maeneo ya Kinondoni!

Tanzania ni wagunduzi mkuu.Tuligundua ng'oka 11 pamoja na ngetwa.
 
Pia ni wagunduzi wakubwa wa usafirishaji wa twiga kwa kutumia ndege first class!
 
Tanzania ni nchi pekee dunia iliyogundua chakula kiitwacho Chips mayai. Hii ni kusema kuwa Tanzania ni moja ya mataifa yanayojita ya kigunduzi katika dunia ya tatu!

Hivyo tukiwa tunasherehekea miaka 50 ya huru tutatembea kifua mbele Mat*** nyuma tukijivunia ugunduzi huu.

Dar ndio sehemu kuu ya ugunduzi huu hasa maeneo ya Kinondoni!

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiii
 
Tanzania ni nchi pekee dunia iliyogundua chakula kiitwacho Chips mayai. Hii ni kusema kuwa Tanzania ni moja ya mataifa yanayojita ya kigunduzi katika dunia ya tatu!

Hivyo tukiwa tunasherehekea miaka 50 ya huru tutatembea kifua mbele Mat*** nyuma tukijivunia ugunduzi huu.

Dar ndio sehemu kuu ya ugunduzi huu hasa maeneo ya Kinondoni!

Umesahau Half-cake. Tangu nimeanzza kutembea duniani, sijawahi kukutana and mpishi au muuzaji wa halfcake zaidi ya Tanzania.
 
Nowonder!! Hii thread ina miaka 6 na ina 52 posts meaning inapata average ya less than 10 posts kwa mwaka...ngoja tukusaidie kujazia hii sledi
 
Kuna mzungu alikuja TZ ,akaenda kwenye kibanda cha chips, akaoda chips mayai mawili , muuzaji akamuuliza "…..confussion or one one?" ,akimaanisha achanganye chips na mayai au mbalimbali?.

Hahaha eti "confusion". Mshkaji mbunifu
 
Tanzania ni nchi pekee dunia iliyogundua chakula kiitwacho Chips mayai. Hii ni kusema kuwa Tanzania ni moja ya mataifa yanayojita ya kigunduzi katika dunia ya tatu!

Hivyo tukiwa tunasherehekea miaka 50 ya huru tutatembea kifua mbele Mat*** nyuma tukijivunia ugunduzi huu.

Dar ndio sehemu kuu ya ugunduzi huu hasa maeneo ya Kinondoni!
This is very funny aisee
 
Kuna mzungu alikuja TZ ,akaenda kwenye kibanda cha chips, akaoda chips mayai mawili , muuzaji akamuuliza "…..confussion or one one?" ,akimaanisha achanganye chips na mayai au mbalimbali?.

Ahsante kwa kunifanya nicheke
 
Aaah ww kitu WALI MAHARAGE bana...mengine mbwembwe tu.

Ila ki ukweli hyo kitu nafkiri ni East Africa sana sanaa....nilikua UK na US aisee wa africa wengi including Nigerians hawajui kitu Chips Mayai. Wao kwao wana vibanda/kiosk/joint vya bush meat na fried bananas/cassava nothin to do wit kiyepe yai.
 
Kitu kiepe yai ya mpemba,kachumbari/salad matata na mayonaiz kwa mbaali,unakazia na mishikaki yako uku ukishushia na fanta moja bariiidi.wallah chipsi yai(zege) ni balaa.
 
Tanzania tuligundua kinywaji cha Tanzania Konyagi kinywaji ambacho kinauza mpaka East Africa kote. Ila nashangaa katika Soko la hisa awapo. Hii nchi bwana atufanyi biashara kimataifa
 
Hivi haiwezekani kutengeneza chips mayai na kuzipack ktk namna ambayo zinaweza kukaa muda mrefu bila kuharibika then tukaziexport nje ya nchi?mfano niliwahi kuwa nairobi,wale hawajui kutengeneza kama hizi za kwetu,s.sudan nao hawazijui kabisa.
Hilo nalo wazo zuri
 
Back
Top Bottom