Chips Mayai: Bidhaa pekee iliyogunduliwa Tanzania tangu tupate Uhuru! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chips Mayai: Bidhaa pekee iliyogunduliwa Tanzania tangu tupate Uhuru!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 11, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 11, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280
Tanzania ni nchi pekee dunia iliyogundua chakula kiitwacho Chips mayai. Hii ni kusema kuwa Tanzania ni moja ya mataifa yanayojita ya kigunduzi katika dunia ya tatu!

Hivyo tukiwa tunasherehekea miaka 50 ya huru tutatembea kifua mbele Mat*** nyuma tukijivunia ugunduzi huu.

Dar ndio sehemu kuu ya ugunduzi huu hasa maeneo ya Kinondoni!

2. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#2
Aug 11, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Ahaaaahaaahaaa!!Je la posta kwa mlamba ushalionja jamaa nuksi!!

3. daughter

daughter JF-Expert Member

#3
Aug 11, 2011
Joined: Jun 22, 2009
Messages: 1,274
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Umenibamba,sikuwahi kufikiria ivo

4. pangalashaba

pangalashaba JF-Expert Member

#4
Aug 11, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 1,078
Likes Received: 858
Trophy Points: 280
Ifm kulikuwa na mangi mmoja hv opposite na kitega uchumi.. Daaaah,yule naye alimodiey chips yai.. Tamu mbayaaaa!!!

5. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#5
Aug 11, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180
Chips yai ya Chacha: Mzumbe University.. Morogoro. Ni tamu kusema chaukweli... Wadau wa mzumbe mpooo?

6. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#6
Aug 11, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Wenzetu wamegundua kwenda sayari nyingine sie tumegundua chips mayai!!

7. Mwana va Mutwa

Mwana va Mutwa JF-Expert Member

#7
Aug 11, 2011
Joined: Jun 9, 2009
Messages: 429
Likes Received: 15
Trophy Points: 35
jamaa aliyegundua angetafuta haki miliki angekuwa mbali sana aiseee

8. drphone

drphone JF-Expert Member

#8
Aug 11, 2011
Joined: Sep 29, 2009
Messages: 3,563
Likes Received: 29
Trophy Points: 145
umenikumbusha kkoo mt wa kongo bar ucnipimie zege lake au temeke msungac ilala mt arusha akuna kulala kweli lazima tujivunie miaka 50

9. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#9
Aug 11, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
Kuna jamaa walikwepo pale pale city garden nje miaka ya 2002 nadhani mpaka 2006 baadaye wakahamia kwenye ile yard ya ttcl pale pembeni ya PPF tower ambako kunajengwa Jengo reeeefu dah! jamaa walikuwa noma ile mbaya sijui wamepotelea wapi wale

10. YoungCorporate

YoungCorporate JF-Expert Member

#10
Aug 11, 2011
Joined: Apr 30, 2010
Messages: 388
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
mkuu hujakosea kweli huu ni ugunduzi mkubwa, naona wazalendo toka kila pande walivyo mashahidi wanasifia jinsi walivyofaidi matunda ya gunduzi hii kubwa. Vasco da gama II nae pia ni jambo la kujivunia, sijui sasa hv anajiandaa kwenda nchi gani....

11. babukijana

babukijana JF-Expert Member

#11
Aug 11, 2011
Joined: Jul 21, 2009
Messages: 4,811
Likes Received: 1,145
Trophy Points: 280
duh chips yai!mmetaja wote kuna mbibi pale kino anaitwa bi farashuu!huyu kiboko ya wote chips zake anauzia gizani hamna taa,hauzi kingine ni chips yai tu,ukiuliza mishkaki au kuku anakupiga mafuruku kwenda pale,na chips yake akiipua imeisha unakuta mko mtu zaidi ya kumi mnangoja viepe kwenye benchi
(mama ndo alimuingiza mjini mtangazaji ben kipini kwa kumuhonga viepe na safari)

12. babukijana

babukijana JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: Jul 21, 2009
Messages: 4,811
Likes Received: 1,145
Trophy Points: 280
waTZ pia waligundua KOROBOI nani anabisha?

13. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#13
Aug 12, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
Duhh
Imetuchukua miaka 50 kuvumbua
Chips mayai
.... God Bless Tanzania........

14. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#14
Aug 12, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,777
Trophy Points: 280

Ngoma inaelekea USA kwenye mkutano ila atakumbana na maandamano ya kufa mtu!!

15. mopaozi

mopaozi JF-Expert Member

#15
Aug 12, 2011
Joined: Nov 17, 2010
Messages: 3,290
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Kwi kwi kwi kwiiiii mbavu zangu jamani eeeeehhhhh chips mayai haipo nchi yeyote zaidi ya tz hata kenya haipoooo ni ugunduzi wa aina yake nashangaa haipewi promo wkt wa 77 na 88 itasaidia kuvutia watalii maana kwao ni maajabu upikaji ule!!!

16. Kwamex

Kwamex JF-Expert Member

#16
Aug 12, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 378
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Chips mayai kwa kiingereza murua inaitwaje wajameni?

17. Jaguar

Jaguar JF-Expert Member

#17
Aug 12, 2011
Joined: Mar 6, 2011
Messages: 3,409
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Twatembea kifua mbele ka tumepigwa ngumi ya mgongo!

18. Radhia Sweety

Radhia Sweety JF-Expert Member

#18
Sep 8, 2015
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 4,448
Likes Received: 345
Trophy Points: 180
Egg chips

19. Nemesis

Nemesis JF-Expert Member

#19
Sep 8, 2015
Joined: Feb 13, 2008
Messages: 3,833
Likes Received: 1,089
Trophy Points: 280
zimegunduliwa China kule unapata hata wali uliokaangwa na mayai.

20. Radhia Sweety

Radhia Sweety JF-Expert Member

#20
Sep 8, 2015
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 4,448
Likes Received: 345
Trophy Points: 180
Punguxa uongo

Loading...