Chini ya utawala huu, ripoti za CAG zitaendelea kuwasilshwa Bungeni?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,913
Hili ni swali nililoanza kujiuliza maana waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu.

Ripoti za CAG kuwasilishwa Bungeni ni utaratibu ulioasisiwa wakati wa utawala wa awamu ya nne lakini enzi za Mkapa utaratibu huu kwa kumbukumbu zangu sidhani kama ulikuwepo hivyo si jambo la ajabu kesho na keshokutwa utaratibu huu ukabadilishwa na watu wakaendelea kupiga makofi.

Hata utaratibu wa kuwasilisha ripoti hizi unaweza pia kubadilishwa na isiwe kwa huu uwazi tunaoushuhudia leo hii.

Bunge kurushwa live haukuwa utaratibu wa kisheria na ndio maana imekuwa rahisi utaratibu huu kufutwa ila kwa upande wa ripoti za CAG kuwasilishwa Bungeni sijui hapa sheria zetu zinasemaje but all in all anything can happen.
 
Namkumbuka JK akiwa Waziri alichangia hii Hoja ya ukaguzi wa Mahesabu Nakusema akichangia Bajeti ya Serikali za Mitaa na kutoa Rai kuwa ufanyike Mkakati ni kwa namna gani hatua zitachukuliwa na siyo baada ya kuzisema Bungeni Mafaili yanaenda kuwekwa Kabatini.SASA NI WAKATI MUAFAKA AWAMU YA TANO ITEKELEZE KWA VITENDO HATUA STAHILI YAONEKANE MABADILIKO NA SIYO BUSINESS AS USUAL
 
Bunge hili la selfie?
1461599948850.jpg
 
Hili ni swali nililoanza kujiuliza maana waswahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu.

Ripoti za CAG kuwasilishwa Bungeni ni utaratibu ulioasisiwa wakati wa utawala wa awamu ya nne lakini enzi za Mkapa utaratibu huu kwa kumbukumbu zangu sidhani kama ulikuwepo hivyo si jambo la ajabu kesho na keshokutwa utaratibu huu ukabadilishwa na watu wakaendelea kupiga makofi.

Hata utaratibu wa kuwasilisha ripoti hizi unaweza pia kubadilishwa na isiwe kwa huu uwazi tunaoushuhudia leo hii.

Bunge kurushwa live haukuwa utaratibu wa kisheria na ndio maana imekuwa rahisi utaratibu huu kufutwa ila kwa upande wa ripoti za CAG kuwasilishwa Bungeni sijui hapa sheria zetu zinasemaje but all in all anything can happen.
salary mimi binafsi naungana kabisa na serikali ya Magufuli inachofanya. Serikali ya Kikwete iliwadekeza sana. Ilwapa kila aina ya uhuru lakini badala ya kuutumia kwa uzuri mkautumia kumtukana yeye binafsi, familia yake na jamii kwa ujumla tena bila hata makosa au makosa ya maana. na tukana yenu haikuwa hata na simile. sasa kwa nini rais Magufuli ajitafutie matatizo yasiyokuwa na sababu ya maana. asioneshe kabisa ikiwezekana hata hiyo ripoti ya CAG aifutilie mbali ili tujifunze kwa njia ngumu maana njia rahisi imetushinda. tumeshindwa kuwa na heshima hata kwa vitu vidogo tu. acha kwanza tujifunze kwa hii miaka 1o ya Magufuli baada ya hapo hatutaichezea tena hiyo chance ikija.
 
Report ya CAG kuwasilishwa bungeni na kujadiliwa kwa kina huku TBC wakiwa Live ni utashi, ujasiri na ukomavu na uvumilivu wa Jakaya Kikwete ambae nashawishiwa kuamini kuwa hajafanya jambo lolote la maana kwa miaka yake yote 10 ya utawala wake.
 
Back
Top Bottom