Chini ya urais wa Magufuli: Hakuna Katiba mpya wala mikataba ya gesi na mafuta kupitiwa upya

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
Ndugu Watanzania,
Leo najitokeza kwenu kwa mara nyingine tena kuwaeleza consequences za maamuzi yetu ya kuipa CCM ushindi katika uchaguzi mkuu uliopita. Sipo hapa kuwakatisha tamaa, lakini naomba tu mjue kwamba kwa maamuzi yetu ya kumchagua Mh. Magufuli kuwa Rais kupitia CCM, basi tusitegemee lolote zaidi ya kuumia zaidi. Mungu alitupenda sisi watanzania na kutupa nafasi ya pekee ili tuweze kufaidika matunda ya rasilimali zetu chache zilizobakia hasa baada ya sehemu kubwa ya rasilimali hizo kuuzwa kwa hasara na mikataba ya uwizi chini ya uongozi wa Mkapa na Kikwete. Hakika kama tungefanya maamuzi sahihi kwa kumchagua Rais mwingine nje ya CCM, then, hapo tungefaidika japo na rasilimali ya gesi na mafuta, kwani dhahabu, tanzanite, na almasi tayari ziko mwishoni mwa upatikanaji wake hapa nchini.

Hatahivyo, sisi kama Watanzania katika ujumla wetu tumeshindwa kutumia nafasi hiyo vizuri na sasa kinachofuata ni consequences za uchaguzi wetu. Nasikitika kuwaambia kwamba HAKUTAKUWA NA CHA KATIBA MPYA WALA CHA MIKATABA MINGI YENYE UTATA KUWA REVIEWED KWA MANUFAA YA WATANZANIA WETU NA VIZAZI VIJAVYO.

Ni hakika tusitegemee Katiba mpya, kwani kwa aina ya kiongozi kama Magufuli ambaye ana hulka ya udikteta, hakika atapenda aendelee kutumia Katiba hii ya sasa na si Katiba mpya ambayo italeta uwajibikaji kwa watu na viongozi katika ngazi mbali mbali. Kwa hulka ya Magufuli, hakika tutaendelea kuumia sana kwani kwa Katiba hii ya sasa, basi hakuna hata institutional changes za maana tutegemee kutoka kwa Mh. Magufuli na CCM. Katiba ya sasa inampa Rais wa nchi majukumu mengi sana na mazito kiasi kwamba kwa mtu mbabe kama Magufuli, then, tusitegemee muujiza. Pia tunapaswa kukumbuka kwamba Mh. Magufuli anakosa creativity and management skills, hivyo kuna uwezekano mkubwa sana wa yeye kuongoza nchi kwa maelekezo ya Kikwete na Mkapa. Na kwa Katiba hii ya sasa, si JK wala Mkapa atakayeweza kumruhusu Magufuli alete Katiba mpya. Na katika kuthibitisha kwamba HAKUTAKUWA NA KATIBA MPYA chini ya Magufuli na CCM, refer kwenye mikutano yake ya kampeni kama kuna hata siku moja alijisahau na kusema kwamba atawaletea wananchi Katiba Mpya. Jibu ni kwamba, msamiati KATIBA MPYA haipo kwenye vipaumbele vya Mh. Magufuli. Hakika tumeumia sisi kama Watanzania, na hapa si kwa wapinzani tu bali ni wananchi wote bila kujali itikadi zetu.

Kuhusu Mikataba ya gesi na Mafuta, na rasilimali zingine: Hapa ndio kuna maumivu mengine. Ni kweli kwamba katika baadhi ya mikutano yake ya kampeni alipata kugusia mikataba mbalimbali inayoumiza nchi, lakini naomba niwaambie kabisaaaa mapema, watanzania wenzangu msiwe na matumaini makubwa katika hili. Mikataba itakayoweza kuwa reviewed ni ile ambayo haina maslahi ya Mh. Kikwete na Mh. Mkapa tu. Na kwa msingi huo, usitegemee mikataba ya gesi na mafuta, mikataba ya madini, mikataba ya NBC Bank, Escrow, Meremeta, n.k. kuwa reviewed katika kipindi hiki cha uongozi wa Mh. Magufuli. Nasema hivyo kwasababu hiyo mikataba yote na mingine mingi yenye negative impacts kwa wananchi yote iliingiwa katika kipindi cha Mkapa na Kikwete, hivyo ni assumption kwamba hiyo mikataba ina mikono ya Kikwete na Mkapa. Na kwa msingi huo, Mh. Magufuli hataweza kufanya review ya makataba wowote ambao una mkono wa mmojawapo hapoa juu, na hasa mikataba ya gesi na mafuta (rejea sheria ya gesi ilivyokimbizwa mwishoni mwa Bunge lililopita). Hakika hili nalo ni PIGO kubwa sana kwa Watanzania walio wengi bila kujali Itikadi zetu.

Hivyo basi Watanzania wenzangu, ni wakati wa kujipa POLE na si kufurahi, kwani Hakuatakuwa na lolote la maana na zaidi tutaendelea kuumia sana. Poleni sana Baba na Mama, poleni sana Kaka na Dada, poleni sana watoto na poleni sana Watanzania wote katika ujumla wetu.

Ni mimi Jatelo katika machozi dhidi ya nchi yangu Tanzania.

NB: Mods naomba mnisaidie kurekebisha title kwa kuandika HAKUNA badala ya HAKINA. Ahsanteni.
 
usitulaumu wananchi kwa kurudi tulipotoka,wananchi zaidi ya asilimia 62 walifanya maamuzi ya busara.unachotakiwa kufanya ni kuilaumu NEC kwa kumtangaza aliyeshindwa
 
nakuomba sana rais wangu magufuli okoa mfuko huu( ) wa hifadhi ya jamii ktk kifo chake kinachoweza kutokea mda wowote huku mkuu wake akijua hilo ila kwa dharau hata wewe aliwahi kukudharau.rejea mkataba wa ujenzi wa ( ).mfuko hadi sasa unalipa mafao kwa shida.
 
Mmepata wabunge wengi tu pelekeni mswaada bungeni na ukipita Pombe asipofanya pigeni kelele. Haya mengine ni majungu tu.

At lest we have got somebody ambaye hakutayarishwa na mafisadi moto wake mtausikia tu, just stay tuned.
 
Ndugu Watanzania,
Leo najitokeza kwenu kwa mara nyingine tena kuwaeleza consequences za maamuzi yetu ya kuipa CCM ushindi katika uchaguzi mkuu uliopita. Sipo hapa kuwakatisha tamaa, lakini naomba tu mjue kwamba kwa maamuzi yetu ya kumchagua Mh. Magufuli kuwa Rais kupitia CCM, basi tusitegemee lolote zaidi ya kuumia zaidi. Mungu alitupenda sisi watanzania na kutupa nafasi ya pekee ili tuweze kufaidika matunda ya rasilimali zetu chache zilizobakia hasa baada ya sehemu kubwa ya rasilimali hizo kuuzwa kwa hasara na mikataba ya uwizi chini ya uongozi wa Mkapa na Kikwete. Hakika kama tungefanya maamuzi sahihi kwa kumchagua Rais mwingine nje ya CCM, then, hapo tungefaidika japo na rasilimali ya gesi na mafuta, kwani dhahabu, tanzanite, na almasi tayari ziko mwishoni mwa upatikanaji wake hapa nchini.

Hatahivyo, sisi kama Watanzania katika ujumla wetu tumeshindwa kutumia nafasi hiyo vizuri na sasa kinachofuata ni consequences za uchaguzi wetu. Nasikitika kuwaambia kwamba HAKUTAKUWA NA CHA KATIBA MPYA WALA CHA MIKATABA MINGI YENYE UTATA KUWA REVIEWED KWA MANUFAA YA WATANZANIA WETU NA VIZAZI VIJAVYO.

Ni hakika tusitegemee Katiba mpya, kwani kwa aina ya kiongozi kama Magufuli ambaye ana hulka ya udikteta, hakika atapenda aendelee kutumia Katiba hii ya sasa na si Katiba mpya ambayo italeta uwajibikaji kwa watu na viongozi katika ngazi mbali mbali. Kwa hulka ya Magufuli, hakika tutaendelea kuumia sana kwani kwa Katiba hii ya sasa, basi hakuna hata institutional changes za maana tutegemee kutoka kwa Mh. Magufuli na CCM. Katiba ya sasa inampa Rais wa nchi majukumu mengi sana na mazito kiasi kwamba kwa mtu mbabe kama Magufuli, then, tusitegemee muujiza. Pia tunapaswa kukumbuka kwamba Mh. Magufuli anakosa creativity and management skills, hivyo kuna uwezekano mkubwa sana wa yeye kuongoza nchi kwa maelekezo ya Kikwete na Mkapa. Na kwa Katiba hii ya sasa, si JK wala Mkapa atakayeweza kumruhusu Magufuli alete Katiba mpya. Na katika kuthibitisha kwamba HAKUTAKUWA NA KATIBA MPYA chini ya Magufuli na CCM, refer kwenye mikutano yake ya kampeni kama kuna hata siku moja alijisahau na kusema kwamba atawaletea wananchi Katiba Mpya. Jibu ni kwamba, msamiati KATIBA MPYA haipo kwenye vipaumbele vya Mh. Magufuli. Hakika tumeumia sisi kama Watanzania, na hapa si kwa wapinzani tu bali ni wananchi wote bila kujali itikadi zetu.

Kuhusu Mikataba ya gesi na Mafuta, na rasilimali zingine: Hapa ndio kuna maumivu mengine. Ni kweli kwamba katika baadhi ya mikutano yake ya kampeni alipata kugusia mikataba mbalimbali inayoumiza nchi, lakini naomba niwaambie kabisaaaa mapema, watanzania wenzangu msiwe na matumaini makubwa katika hili. Mikataba itakayoweza kuwa reviewed ni ile ambayo haina maslahi ya Mh. Kikwete na Mh. Mkapa tu. Na kwa msingi huo, usitegemee mikataba ya gesi na mafuta, mikataba ya madini, mikataba ya NBC Bank, Escrow, Meremeta, n.k. kuwa reviewed katika kipindi hiki cha uongozi wa Mh. Magufuli. Nasema hivyo kwasababu hiyo mikataba yote na mingine mingi yenye negative impacts kwa wananchi yote iliingiwa katika kipindi cha Mkapa na Kikwete, hivyo ni assumption kwamba hiyo mikataba ina mikono ya Kikwete na Mkapa. Na kwa msingi huo, Mh. Magufuli hataweza kufanya review ya makataba wowote ambao una mkono wa mmojawapo hapoa juu, na hasa mikataba ya gesi na mafuta (rejea sheria ya gesi ilivyokimbizwa mwishoni mwa Bunge lililopita). Hakika hili nalo ni PIGO kubwa sana kwa Watanzania walio wengi bila kujali Itikadi zetu.

Hivyo basi Watanzania wenzangu, ni wakati wa kujipa POLE na si kufurahi, kwani Hakuatakuwa na lolote la maana na zaidi tutaendelea kuumia sana. Poleni sana Baba na Mama, poleni sana Kaka na Dada, poleni sana watoto na poleni sana Watanzania wote katika ujumla wetu.

Ni mimi Jatelo katika machozi dhidi ya nchi yangu Tanzania.

NB: Mods naomba mnisaidie kurekebisha title kwa kuandika HAKUNA badala ya HAKINA. Ahsanteni.
Mie nasubiria kuona Tanzania ya viwanda itakavyokuwa.
 
kwa matokeo haya naona katiba ya chenge na ccm ikipigwa kura ya ndio

na kwa kupitishwa katiba ya chenge tusahau pia tume huru ya uchaguzi

nawatakia miaka mingine mitano ya bussiness as usual
 
Kwa hakika ni aibu tu inayokufanya utembeze bakuli kuomba huruma Jamii Forum, Lowasa alikuwa CCM hadi July 2015, ni CCM hiyo hiyo ndiyo iliyomtengeneza hadi wewe ukamjua, Mikataba ya gesi, na madini mengine imeingiwa yeye Lowasa akiwa CCM, Leo kuwa Chadema kuanzia July tayari awe bingwa wa mabadiliko.!!! CCM ndiyo iliyowatengeneza Lowasa, Sumaye, Kingunge, sasa leo eti wanadai miaka 54 wadai kuwa hakuna kilichofanyika !!!, Kauli hizi ndizo zilizoiponza CCM na Wayanzania kwa wingi wao wakafanya maamzi Makini na kumpa ushindi wa tsunami Mh. John Pombe Joseph Joseph Magufuli. MAGUFULI OYEEEEEE, CCM MBELE KWA MBELE, LOWASA KACHUNGE NG'OMBE ZA WIZI.
 
kwa matokeo haya naona katiba ya chenge na ccm ikipigwa kura ya ndio

na kwa kupitishwa katiba ya chenge tusahau pia tume huru ya uchaguzi

nawatakia miaka mingine mitano ya bussiness as usual

Hili halina mjadala - ndivyo itakavyokuwa. Watanaznia wapiga kura walio wengi wanaonekana kuwa na mahaba niue kwa CCM kuliko wanavyojipenda wenyewe na hivyo katiba pendekezwa italetwa kwa ajili ya kura ya maoni na itapita kiulaini. Hicho kitakuwa kifungo cha miaka mingine 50 au zaidi hadi mfumo wa kifisiem utakapoweza kufumuliwa.
 
Ndugu Watanzania,
Leo najitokeza kwenu kwa mara nyingine tena kuwaeleza consequences za maamuzi yetu ya kuipa CCM ushindi katika uchaguzi mkuu uliopita. Sipo hapa kuwakatisha tamaa, lakini naomba tu mjue kwamba kwa maamuzi yetu ya kumchagua Mh. Magufuli kuwa Rais kupitia CCM, basi tusitegemee lolote zaidi ya kuumia zaidi. Mungu alitupenda sisi watanzania na kutupa nafasi ya pekee ili tuweze kufaidika matunda ya rasilimali zetu chache zilizobakia hasa baada ya sehemu kubwa ya rasilimali hizo kuuzwa kwa hasara na mikataba ya uwizi chini ya uongozi wa Mkapa na Kikwete. Hakika kama tungefanya maamuzi sahihi kwa kumchagua Rais mwingine nje ya CCM, then, hapo tungefaidika japo na rasilimali ya gesi na mafuta, kwani dhahabu, tanzanite, na almasi tayari ziko mwishoni mwa upatikanaji wake hapa nchini.

Hatahivyo, sisi kama Watanzania katika ujumla wetu tumeshindwa kutumia nafasi hiyo vizuri na sasa kinachofuata ni consequences za uchaguzi wetu. Nasikitika kuwaambia kwamba HAKUTAKUWA NA CHA KATIBA MPYA WALA CHA MIKATABA MINGI YENYE UTATA KUWA REVIEWED KWA MANUFAA YA WATANZANIA WETU NA VIZAZI VIJAVYO.

Ni hakika tusitegemee Katiba mpya, kwani kwa aina ya kiongozi kama Magufuli ambaye ana hulka ya udikteta, hakika atapenda aendelee kutumia Katiba hii ya sasa na si Katiba mpya ambayo italeta uwajibikaji kwa watu na viongozi katika ngazi mbali mbali. Kwa hulka ya Magufuli, hakika tutaendelea kuumia sana kwani kwa Katiba hii ya sasa, basi hakuna hata institutional changes za maana tutegemee kutoka kwa Mh. Magufuli na CCM. Katiba ya sasa inampa Rais wa nchi majukumu mengi sana na mazito kiasi kwamba kwa mtu mbabe kama Magufuli, then, tusitegemee muujiza. Pia tunapaswa kukumbuka kwamba Mh. Magufuli anakosa creativity and management skills, hivyo kuna uwezekano mkubwa sana wa yeye kuongoza nchi kwa maelekezo ya Kikwete na Mkapa. Na kwa Katiba hii ya sasa, si JK wala Mkapa atakayeweza kumruhusu Magufuli alete Katiba mpya. Na katika kuthibitisha kwamba HAKUTAKUWA NA KATIBA MPYA chini ya Magufuli na CCM, refer kwenye mikutano yake ya kampeni kama kuna hata siku moja alijisahau na kusema kwamba atawaletea wananchi Katiba Mpya. Jibu ni kwamba, msamiati KATIBA MPYA haipo kwenye vipaumbele vya Mh. Magufuli. Hakika tumeumia sisi kama Watanzania, na hapa si kwa wapinzani tu bali ni wananchi wote bila kujali itikadi zetu.

Kuhusu Mikataba ya gesi na Mafuta, na rasilimali zingine: Hapa ndio kuna maumivu mengine. Ni kweli kwamba katika baadhi ya mikutano yake ya kampeni alipata kugusia mikataba mbalimbali inayoumiza nchi, lakini naomba niwaambie kabisaaaa mapema, watanzania wenzangu msiwe na matumaini makubwa katika hili. Mikataba itakayoweza kuwa reviewed ni ile ambayo haina maslahi ya Mh. Kikwete na Mh. Mkapa tu. Na kwa msingi huo, usitegemee mikataba ya gesi na mafuta, mikataba ya madini, mikataba ya NBC Bank, Escrow, Meremeta, n.k. kuwa reviewed katika kipindi hiki cha uongozi wa Mh. Magufuli. Nasema hivyo kwasababu hiyo mikataba yote na mingine mingi yenye negative impacts kwa wananchi yote iliingiwa katika kipindi cha Mkapa na Kikwete, hivyo ni assumption kwamba hiyo mikataba ina mikono ya Kikwete na Mkapa. Na kwa msingi huo, Mh. Magufuli hataweza kufanya review ya makataba wowote ambao una mkono wa mmojawapo hapoa juu, na hasa mikataba ya gesi na mafuta (rejea sheria ya gesi ilivyokimbizwa mwishoni mwa Bunge lililopita). Hakika hili nalo ni PIGO kubwa sana kwa Watanzania walio wengi bila kujali Itikadi zetu.

Hivyo basi Watanzania wenzangu, ni wakati wa kujipa POLE na si kufurahi, kwani Hakuatakuwa na lolote la maana na zaidi tutaendelea kuumia sana. Poleni sana Baba na Mama, poleni sana Kaka na Dada, poleni sana watoto na poleni sana Watanzania wote katika ujumla wetu.

Ni mimi Jatelo katika machozi dhidi ya nchi yangu Tanzania.

NB: Mods naomba mnisaidie kurekebisha title kwa kuandika HAKUNA badala ya HAKINA. Ahsanteni.

shida ni lowassa tu na kajichama ka wakaskazini nani awape nchi
 
Back
Top Bottom