Chinese National Sales Man Person

Hi every one, we are looking for Chinese National Sales Man who can join our team.
He must also know English language, Swahili language is an option. He must have knowledge and experience on sales. For more information contact dsm@fleetcare.co.tz
nakushauri hili tangazo kaliweke kwenye jamiiforums ya kichina, hapa hautampata hata mmoja. zaidi sana wachina wote wanaokuja hapa hata kama wanauza kariakoo ujue ni mainsider wa biashara chafu kama meno ya tembo na viwanda bubu. ndo maana utakuta ana duka lake pembeni kuna mchaga na mkinga wanapiga hela balaa yeye wateja wachache lakini analipa kila mwezi kodi ya chumba na hatetereki kwasababu wanakuja hapa kihuni kwa biashara za siri, hayo wanayofanya ni geresha tu. ukiona hadi amekuja huku ujue hajaja kutafuta maisha bila ramani, ameletwa kimpango toka kwao. nawe ukitaka mtu kama huyo nenda katangaze china, hapa hutopataaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom