Chinese Civil Engineering contracting Firms.... toa ushauri

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Hello Wakuu JF,
Hivi hawa ma contractors wa kichina huwa wanachukua contracts za kujenga nyumba binafsi za kuishi? Kama ndio, tupeane ushauri kutokana na experiences zetu, na pia contacts zao.
Natanguliza shukran.
 
Wakuu wa JF vipi jamani, msaada wakuu. Any info you're most welcome!

Hello Wakuu JF,
Hivi hawa ma contractors wa kichina huwa wanachukua contracts za kujenga nyumba binafsi za kuishi? Kama ndio, tupeane ushauri kutokana na experiences zetu, na pia contacts zao.
Natanguliza shukran.
 
Hello Wakuu JF,
Hivi hawa ma contractors wa kichina huwa wanachukua contracts za kujenga nyumba binafsi za kuishi? Kama ndio, tupeane ushauri kutokana na experiences zetu, na pia contacts zao.
Natanguliza shukran.

mkuu,,, labda kwa kampuni ndogo. Sijui kama zipo,., ila kampuni kubwa kama cRJE, ama group six international, project ya chini kabisa wanayoweza kufanya ni lazma iwe 1 billion tshs and above... Do u think your house will worth that much????
 
Hapana, sidhani kama gharama zitafikia huko.
Naona basi itabidi kutafuta local engineers, vipi uzoefu wako na hawa, any recommendations? Kampuni zilizopo Dar

mkuu,,, labda kwa kampuni ndogo. Sijui kama zipo,., ila kampuni kubwa kama cRJE, ama group six international, project ya chini kabisa wanayoweza kufanya ni lazma iwe 1 billion tshs and above... Do u think your house will worth that much????
 
we have a construction company,,, soo ukiniambia nirecomend, i would recomend our company, inaitwa Mosha Building Works l.t.d, basically head office ipo arusha, but we work all over the country,, contact ni 0785131616 au 0758502135. Ukitaka hata sample pictures za nyumba tulizojenga na tunazoendelea kujenga, i can send u one,,, just contact me for more info concerning anything,, au unaweza kunipa number yako nikakupigia mkuu.
 
Sawa mkuu, tutakutafuta.
Swali la nyongeza, je unajua utaratibu unaofuatwa iwapo mtu mwenye nyumba ya kawaida ya kuishi anataka kuibadilisha kwa kujenga ghorofa ili iwe nyumba ya biashara. Utaratibu uko vipi? vibali gani vinahitajika kutoka serikalini, pengine itachukua muda gani kupata hivyo vibali, je ni nani anastahili kushughulikia hii process nzima; contractor au mwenye nyumba? Haya machache kwanza mkuu.
Shukrani!

Back
Top Bottom