Chindoman, Mtanzania anaewakilisha taifa huko US kwny kilimo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
IMG_20190902_094802_269.JPG
IMG_20190902_094802_269.JPG
IMG_20190902_094748_324.JPG
IMG_20190902_094717_055.JPG
 
Hautafanya kazi ukipenda unachofanya
/hautapata mafanikio ulimwenguni ka unahanya
/changalizi ya chungu huua hata nduvu/
lazma tuungane ili tupate nguvu/
torati ya mtaa inasema usiwe fala/
peace kwa ma partner Jacob Makalla/
kitaani hatuitaji usnitch/acha mambo ya ki mmnn na tabia za ki witch/
mtaani kwetu hakuna kuuzana/
kuna matabaka kwenye shida ungana
/Kuna muda tuunavutana/
lakini mwisho wa siku tunakuja ungana/
Familia ni kitu cha kati wakati mwingine tunakua na miikakati/
Haribugi issue zingine lakini kwa nyumbani kunakuanga na Tooorati
/Ma boy smoker nipe gwara/
ontop of kili naweka bendera ya R
/Niache mwanao usinshike shati
/napita kati utafkiri nmegeuka sande manara/

#Torati ya Mtaa
 
Oiyeleleee nkt
 
Mkuu msaga sumu. Do me a favour kwa kufungua profile yako ili niweze kua napitia thread zako. Hua zanifurahisha mno

Kliki id yake ukipata pop-up menu bonyeza hiyo namba ya idadi ya messages.. hi ni njia mojawapo
..hii ni kwa browser kwa app sijui koz siitumii
 
Kliki id yake ukipata pop-up menu bonyeza hiyo namba ya idadi ya messages.. hi ni njia mojawapo
..hii ni kwa browser kwa app sijui koz siitumii
Hata mm situmii App niki click id yake inaniambia member ameziwia watu kuona profile yake
 
Aaah kulalekii..manzi angu waga ananinyongea hii kitu uku afu naipuliza
 
Back
Top Bottom