China's Zambia Role turns sour

MwanaHabari

JF-Expert Member
Nov 9, 2006
444
13
"Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded." - JK Nyerere
 

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,530
3,079
Haya Mambo ndio huwa naya zungumzia kuhusu China na India, investors kusaidiwa na Serekali za Nchi zao ili watengeneza kazi kwa ajili ya watu wao, na kuendeleza uchumi wao at our expense.
Sasa ni juu yetu sisi na viongozi wetu kuwa werevu kidogo wanapo deal na watu kama hao.
Moja ni kuwawekea technical barriers like lagguage, source of their capital tujue inatoka wapi, isije ikawa fedha chafu, kuwekeza Plant zao kwetu, Je wafanyakazi wetu watafaidika vipi? Wanapoweka mtu wao pia mtu wetu awepo kama msaidizi ili ajifunze au aelewe what is going on. Sisije ikawa kama ule mchanga unachukuliwa kumbe ndio dhahabu inaondoka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom