China yazindua 5G technology nchi nzima. Mitandao yote ya simu kutoa 5G kuanzia Ijumaa

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,295
17,000
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani.

Wachambuzi wa mambo wanasema hii itayapa fursa makampuni ya simu yenye teknolojia ya 5G kuneemeka. China ina mpango kufikia mwaka 2020, 5G iwe imetapakaa hadi vijijini.

====
5G commercialization launched in Beijing

1572589908623.png

China has launched its 5G commercialization at an annual international Postal and Telecom expo in Beijing.

An initiation ceremony was held on Thursday morning by the country's telecom giants, including China Telecom, China Mobile and China Unicom.

Chen Zhaoxiong, deputy minister of Chinese Ministry of Industry and Information Technology (MIIT), said China will use this opportunity to maximize the potential of telecom companies, and to accelerate the construction of an efficient nationwide 5G network.

Chinese telecom companies will announce 5G mobile packages during the expo on Friday.

Experts said at the expo that 130,000 5G base stations will be built by the end of this year in more than 50 Chinese cities and more are expected next year. And they will eventually reach all cities in China.

China's latest development in 5G and related industries will be showcased during this flagship 5G event held from Thursday till Sunday.

More than 60,000 attendees have registered to attend, and over 400 leading companies and organizations are slated to speak at conference sessions.

They will discuss opportunities and challenges in the information and telecommunication industry.

Source: CGTN
 
Bado data ni tatizo sana mikoani hususani pembezoni ya minara, hivi ule mkongo wa taifa tulikwama wapi?
 
Bbc wanasema Uingereza, Korea Kusini na Marekani pia wanatarajia kuzindua 5G technology mwaka huu kwa nchi nzima.

Huku kwetu mitandao kama airtel imezindua 5G ila ni kama 2G tu. Ttcl wao hata ukiwa hapa mjini 4G yao ni shida ukienda vijijini ndio kabisa inapotea.
 
Marekani kashazidiwa kete na mchina...!!
 
Bbc wanasema Uingereza, Korea Kusini na Marekani pia wanatarajia kuzindua 5G technology mwaka huu kwa nchi nzima.

Huku kwetu mitandao kama airtel imezindua 5G ila ni kama 2G tu. Ttcl wao hata ukiwa hapa mjini 4G yao ni shida ukienda vijijini ndio kabisa inapotea.

Airtel wazindue 5G?mkuu bu cheki fact zako vizuri
 
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani.

Wachambuzi wa mambo wanasema hii itayapa fursa makampuni ya simu yenye teknolojia ya 5G kuneemeka. China ina mpango kufikia mwaka 2020, 5G iwe imetapakaa hadi vijijini.

====
5G commercialization launched in Beijing

View attachment 1250534

China has launched its 5G commercialization at an annual international Postal and Telecom expo in Beijing.

An initiation ceremony was held on Thursday morning by the country's telecom giants, including China Telecom, China Mobile and China Unicom.

Chen Zhaoxiong, deputy minister of Chinese Ministry of Industry and Information Technology (MIIT), said China will use this opportunity to maximize the potential of telecom companies, and to accelerate the construction of an efficient nationwide 5G network.

Chinese telecom companies will announce 5G mobile packages during the expo on Friday.

Experts said at the expo that 130,000 5G base stations will be built by the end of this year in more than 50 Chinese cities and more are expected next year. And they will eventually reach all cities in China.

China's latest development in 5G and related industries will be showcased during this flagship 5G event held from Thursday till Sunday.

More than 60,000 attendees have registered to attend, and over 400 leading companies and organizations are slated to speak at conference sessions.

They will discuss opportunities and challenges in the information and telecommunication industry.

Source: CGTN

CGTN ni stesheni ya propaganda za CCP!

Who will ever believe this nonsense!?

Hizi propaganda kama za Jiwe!

Who will ever believe haya mavi?
 
Read post no 6, there is bbc news for you sir.

Kwa maana BBC haiwezi kutoa propaganda?

Mkuu

5G network ina download movie ya 2GB kwa sekunde sita!

5G network hakuna cha phone book au kubeba simu au Apps tena,ni unaongea kwenye ubongo wako uber njoo,then uber inakuja!

This can never happen NOW at large scale kwa watu bilioni 1...

Labda 5G ya majaribio!

Hakuna commercial deployment sasa hivi!

Hizi propaganda za CCP is too much!

Fvck em!
 
CGTV huamini, bbc huamini, sasa unataka news source ipi?

Wameshakwambia wanafanya commercial deployment wewe unakataa.

Wewe twambie sources zako zinasemaje maana hueleweki unachokiandika.
 
5G ni bado sana kama Technology, na haipo ready kusambazwa kila mahala kwa kuwa inahitaji kuwepo na 5G node kila baada ya metre kadhaa na bado hawawezi pitisha frequency kiurahisi ndani ya nyumba.

Angalia tests mfano:

Usipo kuwepo katika clear line of site na node huwezi pata 5G..kwahiyo hii kitu bado sana, ipe miaka kadhaa kufanyiwa maboresho kabla ya kukurupuka eti Tanzania na sisi tuweke.

Sisi kama Tanzania tungekuwa tunapiga kelele kupata huduma za Fibre to home tuweze kuenjoy gigabit speeds majumbani mwetu; maana fibre cable kwa sasa zimepita kila kona ya nchi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom