Coverage yao bado sanaPoa endeleeni kututesa sisi tupo na TTCl
Nalog off
siyo sahihi kuifananisha China na nchi yoyote ya Afrika . Ni mbingu na ardhi
CGTV huamini, bbc huamini, sasa unataka news source ipi?
Wameshakwambia wanafanya commercial deployment wewe unakataa.
Wewe twambie sources zako zinasemaje maana hueleweki unachokiandika.
Hata huko Marekani na nchi zilizoendelea hakuna anaeweka 4g Vijijini, ni gharama sana kuweka mitambo yake, mtandao utapata faida gani kuweka mnara sehemu watumiaji ni kama 10 tu?Hapa Dar kuna sehemu ukikaa network inaingia ma kutoka. Labda wenzetu wakiwa 10G sisi ndo tutakuwa 5G. Tcra wangepambana kuhakikisha 4G inakuwa nchi nzima bila mkwamo wowote
Hapa kwetu TTCL tu imewashinda ukitoka pembeni ya Mji mtandao unasoma E. Miikoani ndio kabisa hata picha Whatsapp haufungui.
Acha uongoSafi sana na sisi huku watumishi wa umma wote waliambiwa lazima wawe na laini ya TTCL.
'Tutafikaga' tu.
Acha uongo
Hiyo ndo wanayoitaka waoNxhi ambayo haifati democracy and rule of law ni nchi za kis3ng3 hata iwe tajiri kiasi gani!
China ni nchi ya kis3ng3 kupita maelezo!
Na sijafananisha China na Africa!
Nimejaribu kuchukua totalitarian tendencies za Jiwe anazoiga huko China!
Jiwe sio nchi,ni kakiongozi ndani ya nchi yenye misingi ya demokrasia mwaka 30 sasa,yeye kua na udikteta uchwara sio eti ndio msingi wa nchi kama nchi!
Atleast Africa tuna demokrasia ya kuchechemea,China ni mavi jumlisha mavi matupu!
Halafu mijitu inayo enjoy demokrasia tangu imezaliwa halafu leo inashadadia China ni majitu ya kupimwa akili kabisa!
HongKong wanakufa kutetea demokrasia and rule of law wewe mavi ya Tandale unashabiki totalitarianism ya China mainland under mafia clique CCP?
Hiyo ndo wanayoitaka wao
Ayaaaa tigo yako!?Huku kwetu hapa hapa mjini kuna sehemu tigo yangu inasoma edge (E)
😀😀acha ujinga line ya tigoAyaaaa tigo yako!?