China yatoa mkopo wa dola bilion 20; kwa afrika.. Kilimo ;miundo mbinu na wajasiliamali wadogo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

China yatoa mkopo wa dola bilion 20; kwa afrika.. Kilimo ;miundo mbinu na wajasiliamali wadogo..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 19, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  President Hu Jintao

  made the announcement at a summit in Beijing with leaders from 50 African nations.


  He said the loans would support infrastructure, agriculture and the development of small businesses.


  The Chinese leader also called for better co-operation with African countries on international affairs. :israel:


  sOURCE ; CHINA CUSTOM DATA
   

  Attached Files:

 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kuweni Makini sana Hao Wajasirimali wadogo wadogo ni Wachina - Wamachinga walioko Nchini Mwenu

  Wachina ni wachoyo kupindukia
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  bona hiyo haitutoshi Tanzania ukilinganisha na safari tunazo kwenda kuomba hiyo mikopo
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Wachina nao utata mtupu
   
 5. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  NOTED; KUMBE :wacko:
   
 6. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Zitaishia kwenye matumbo ya watu tu!
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ubaya ya Wachina wakija sio Matumbo ya watu tu; Hadi Vijidudu vyenu mitaani vitapotea; vyura, panya pori,

  kereng'ende, mbwa pori, nyoka, tumbili, sisimizi, mijusi, kwahiyo watatula zaidi zaidi ya matumbo ya watu mabosi

  ndio hapo naogopa, wakati walipokuwa wanajenga TAZARA yaani njia yote ungeweza kutembea USIKU BILA

  KUSHAMBULIWA na MNYAMA YOYOTE HATARI;
   
Loading...