China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.

Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Wakat mind zetu ni ktembea ktafta vijipesa vya miradi? Hii kitu itaishi kama ndoto had pale gharika la Nuhu litaposafisha ardhi yetu na ktengeneza kzazi tofaut kabisa na hiki
 
Putin sikio lakufa.
20220224_143117.jpg
 
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.

Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje

Hahahaha hebu tuwazo yasiowazika kidogo hapo
Yaani vita itokee wasambazane na makombora yayupwe kila kona, watu billions tufe

Sasa sisi waafrika silaha zetu za jadi ndio tunajua ni fimbo na mawe
Unafikiri tunawaza basi hata siku moja kutengeneza Tanks?
Tuacheni tule makande jioni kijiweni
 
RUSSIAN FOREIGN MINISTRY SAYS RUSSIA WILL RESPOND TO EUROPEAN AND U.S. SANCTIONS IN TIT-FOR-TAT MANNER - RIA
 
Vladimir Putin: Over the past 30 years we have been patiently trying to come to an agreement with nato regarding the principles of equal and indivisible security in Europe.

In response, we faced either cynical deception and lies or attempts at pressure and blackmail. https://t.co/vzajHJt94Z
 
Sijawahi kabisa, unaanzaje sasa kuishi china labda uwe na matatizo ya akili, au urusi, umewahi hata kutamani? Nenda US embassy kila mtu anapigania Viza zao
Duuuuh 😳🤣🤣.

Kwa hiyo Urusi ,China hakuna maisha mazuri anayopaswa kuishi binadamu ?!!!😳🤣

Starehe ,Kazi ,Bata ,huduma za kijamii zimejaa tele na supaaaa....

Haya mkuu kila la heri hapo peponi Chicago 👍
 
China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi, jirani wa Ukraine), na ikawa pia yafanya vitisho vya vita. Hali hiyo hatimae iliifanya Russia kutambua kuwa usalama wake upo hatarini na hivyo kulazimika kuchukua hatua za kujilinda mapema.
======


China has stood by Russia, accusing the US of causing the invasion in Ukraine.

The state-run Global Times said Washington "“finally forced Russia to try to realise its security demands in such a way".

GB News' Isabel Webster also tweeted this morning: "Chinese Foreign Ministry says they 'do not recognise' foreign reports of a Russian invasion in Ukraine."

Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying said Washington “keeps sending weapons to Ukraine, creating fear and panic and even playing up the threat of war”.

Chinese ministry spokesman, Wang Wenbin, said: “China is closely monitoring the evolving situation in Ukraine. China’s position on the Ukraine issue is consistent.

"The legitimate security concerns of any country should be respected, and the purposes and principles of the UN Charter should be jointly upheld.”
Ndege za Ukraine za shushwa
Screenshot_20220224-173838.jpg
 
Duuuuh 😳🤣🤣.

Kwa hiyo Urusi ,China hakuna maisha mazuri anayopaswa kuishi binadamu ?!!!😳🤣

Starehe ,Kazi ,Bata ,huduma za kijamii zimejaa tele na supaaaa....

Haya mkuu kila la heri hapo peponi Chicago 👍
Kwani wachina ni binaadamu?
 
Wanaume wana pambana angalia youtube battle in feluja uta jua marekani ni mtu gani
 
Back
Top Bottom