China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

They are clearly already prepared for any sanction they could face, they wouldn't have invaded if sanctions would bring them down
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
Huwezi kuunga mkono uovu kwa sababu fulani naye alifanya hivyo,
Ni sawa na Nelson Mandela angeweza kuwabagua makuburu kwa sababu waliwabagua waafrica ,nini kingetokea ?
Kosa ni kosa ni tu.
Tusiunge mkono makosa kwa kurejelea makosa ya nyuma
Haswa unapokuwa kiongozi lazima uwe makini na unayoyasema,
Tunaweza kuona huyu akiwa kiongozi atakuwaje kwenye nchi yake yenye white and black people
 
😳🤣🤣🤣

Penda na kufuatilia taarifa za habari za vyombo visivyo vya nchi za magharibi....
Nchi za magharibi ikiwemo Marekani kupitia media zao wamefanikiwa sana kutufanya mako9loni yao kifikra zaidi ya hata walivyowatawala mababu zetu. It is a shame sana mtu kukurupuka tu na kusema Urusi na China ni mataifa hatari wakati hawajawahi hata kuitawala Tanzania wala kuinyonya waloa kuitumikisha wala kutishia kuipiga Tanzania.

Urusi wanajihami kwa usalama wao ambao unataka kuwekwa rehani na Marekani wakishirikiana na umoja wa usalam wa Europe kupitia NATO
UKraine ni victim tu lakini mtu mbaya hapo ni NATO na USA
 
Kim Jong-un atoa Tamko
Seoul, South Korea:

North Korea has accused the United States of being the "root cause of the Ukraine crisis" while defending Russia, in Pyongyang's first official response to Moscow's invasion of Ukraine.

Russia ordered troops into neighbouring Ukraine this week, prompting global outcry and punishing sanctions from the West, some directed against Russian President Vladimir Putin himself.

But North Korea, in a muted response issued in the form of a commentary posted on the Foreign Ministry's website, said the United States was to blame for the unfolding disaster.

Washington has pursued "military supremacy in disregard of the legitimate demand of Russia for its security" according to the commentary, attributed to Ri Ji Song, a researcher at the North's Society for International Politics Study.

"The root cause of the Ukrainian crisis also lies in the high-handedness and arbitrariness of the US," said the post uploaded on the North's foreign ministry website on Saturday.

Ri slammed the US for holding a "double standard" -- saying it meddled in the internal affairs of other countries in the name of "peace and stability" but "but it denounces for no good reason self-defensive measures taken by other countries to ensure their own national security."

"Gone are the days when the U.S. used to reign supreme," the post said.

The response is a "low-key" official reaction as it was published under an individual name, said Park Won-gon, a professor of North Korean Studies at Ewha Womans University.

"The conclusion is that it's all because of the US. The main point is that you will suffer if you don't have power," he told AFP.

Along with Beijing, Russia is one of the North's few international friends and has previously come to the regime's aid.

Moscow has long held the line against increasing pressure on nuclear-armed North Korea, even asking for relief from international sanctions for humanitarian reasons.

China, North Korea's most important ally, has also blamed the United States and its Western allies in recent weeks for "hyping up" the Ukraine crisis.
 
Nchi za magharibi ikiwemo Marekani kupitia media zao wamefanikiwa sana kutufanya mako9loni yao kifikra zaidi ya hata walivyowatawala mababu zetu. It is a shame sana mtu kukurupuka tu na kusema Urusi na China ni mataifa hatari wakati hawajawahi hata kuitawala Tanzania wala kuinyonya waloa kuitumikisha wala kutishia kuipiga Tanzania.

Urusi wanajihami kwa usalama wao ambao unataka kuwekwa rehani na Marekani wakishirikiana na umoja wa usalam wa Europe kupitia NATO
UKraine ni victim tu lakini mtu mbaya hapo ni NATO na USA
😍
 
Back
Top Bottom