China yasema hakuna nchi inayoweza kuiondolea uanachama wa G20 nchi nyingine

Mkuu hawa ni wale raia wa kujitolea hakuna mwanajesh wa Ukraine hapo kama mwanajesh, jeshi la russia jana limerejeshwa nyuma walikotoka 100km., Ukrain saiv wanashambulia wao na sasa hata hiyo Cremea wanaitaka wenywe ukraine

Putini sasaiv kidole chake hakiondoki kwenye button ya nuclear ni wakati wowote atabonyeza vita ya ground ameshindwa bila kutegemea
Wanajeshi wa Ukrein wapoje?
Urusi wamerudishwa km 100 kutoka Wapi ? Maana jeshi la urusi lipo katika miji tofauti tofauti.
Usisahau kuweka na kavideo kidogo
 
Wanajeshi wa Ukrein wapoje?
Urusi wamerudishwa km 100 kutoka Wapi ? Maana jeshi la urusi lipo katika miji tofauti tofauti.
Usisahau kuweka na kavideo kidogo
Wamerudishwa nyuma kutoka walikotoka kuivamia ukraine100 kilometers kwa upande wa West,
Angalia television za dunia utaona haya mambo, umeweka clips za mateka wa ukraine lakini hazipo kwenye vyanzo vyovyote vya habari ni unakuwa muongo kama Putin
 
Wanajeshi wa Ukrein wapoje?
Urusi wamerudishwa km 100 kutoka Wapi ? Maana jeshi la urusi lipo katika miji tofauti tofauti.
Usisahau kuweka na kavideo kidogo
JamiiForums-868175374.jpg
 
Back
Top Bottom