China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani.

Source: Chinese NewsView attachment 1387707
[/FAKE News
 
Attachments

  • 33651F88-0711-4061-A37D-65A502080DA7.jpeg
    33651F88-0711-4061-A37D-65A502080DA7.jpeg
    12.8 KB · Views: 1
Hakuna cha kumtafuta mchawi wala nini sijui!! Soma wana sayansi wanasema nini kwanza:Wanasema kuna strain za Corona tano na zote zina patikana huko Marekani, wakati China ina strain moja tu ambayo ni tofauti zile zilizo kumba Italy, Iran na Ufaransa: Maambukizi Barani Afrika yametokana na abiria/watalii kutoka faransa,Italy, Ujerumani na USA sio Uchina, sasa swali ni: kwa nini USA liwe niTaifa pekee Duniani linalo host type zote za Corona virus, je, hii ni bahati mbaya au??

Watu badala ya kusikiliza uchambuzi wa kisayansi wanakimbilia propaganda za kutaka ku demonise China na communist party in particular.
Brother! Hii inafikirisha na jawabu si kwa bahati mbaya inavyoonekana na sikujua kwamba type za hivyo virus ni tofauti kwa nchi zilizokumbwa!

Ila wengi wa watu wameshakunywa maji ya umagharibi. Ila waliyo huru kifikra watakuelewa.
 
Wakubwa wa dunia washakula sadaka yao wametosheka sasa hv huu ugonjwa utapotea kusikojulikana utarudi 2030 kipindi hiko ndo utalazimisha dunia iingie kwenye cashless system kuleta serikali moja.
But 2020 ndio mwaka wa mipango yao mikuu...so hii corona ni onjesho tu la YAJAYO.....So kaeni mkao wa kula.......April lazima kuna Jipya linakuja......stay tune..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kiongozi kama ni mfumo tu wa cashless mbona tumeshaanza kuutumia na hatuja ulalamikia au ndo mpaka waue watu
 
Back
Top Bottom