Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
Waarabu kielimu sio wazuri ila sisi 2mezidiVipi kwa waarabu mbona wameweza kuziendeleza nchi zao kwa raslimali walizo nazo pamoja na kwamba kielimu sio wazuri?.
Waarabu kielimu sio wazuri ila sisi 2mezidiVipi kwa waarabu mbona wameweza kuziendeleza nchi zao kwa raslimali walizo nazo pamoja na kwamba kielimu sio wazuri?.
Tatizo tunataka mabadiliko hali ya kuwa sie wenyewe hatutaki kubadilika,bado tunachezeshwa ngoma za wanasiasa tu ukiangalia mijadala mingi humu ya siasa utagundua siasa za vyama ndio zimewatawala watu,tunapelekwa pelekwa tu na wanasiasa ila siku tukijitambua na kuamua kubadilika na hapo ndipo tutaweza kufanya mabadiliko.Kwahiyo unataka tusemeje ndugu? Unataka tuunge mkono miaka mingine 60 ya upuuzi na siasa sa kibaguzi? Unatamani nchi iendelee kudhalilika mpaka lini?
Teh teh watafiti gani hao?labda wakina MpangoUSA utasemaje???
Watafiti wameshaonesha ya kuwa uchumi wa China uko imara kuliko wa USA.
Sio kweli, ushabiki maandazi tu huo. Uchumi wa China unashuka kila siku wewe unasoma vitu gani kwenye mitandao.USA utasemaje???
Watafiti wameshaonesha ya kuwa uchumi wa China uko imara kuliko wa USA.
Ujinga ni jambo moja lakini kuna tatizo kubwa la ubinafsi. Hata Pogba anasumbuliwa na ubinafsiTatizo tunaoona umuhimu wa kuiondoa CCM hata usiku wa leo tunakabiliana na wajinga wengi wanaopumbazwa na propaganda na ndoto mfu za CCM za kutawala milele. Ujinga unaliangamiza taifa.
Oohooo bro kwahyo mm nimekuwa mshabiki maandazi?Sio kweli, ushabiki maandazi tu huo. Uchumi wa China unashuka kila siku wewe unasoma vitu gani kwenye mitandao.
Wawekezaji wanahamia Vietnam, Thailand, Malaysia nk.
ACHENI KASUMBA NINYI WATUUU!!Teh teh watafiti gani hao?labda wakina Mpango
Unaongea pumba mkuu.Utajiitaje tajiri harafu helayako duniani haitumiki,labda itakapoaza kutumika dunian helayao ndipo labda watakubali kua matajiri
Mstahi bure jamaa amekunywa supu ya jumapiliUnaongea pumba mkuu.
Kuwait Dinar ndio hela yenye thamani kuizidi $ dollar.
Mbona haitumiki dunia nzima??
USA ni strong nation kijeshi na kiuchumi ndio maana hela yake inatumika dunia nzima.
Ni kweli US$ ni baba Lao inatumika almost pande zote kama si zote with confidence transaction na pesa ya China iko chini katika kutumika ingawa iko top ten ya reserve currencies za dunia ikiongozwa na $us.Utajiitaje tajiri harafu helayako duniani haitumiki,labda itakapoaza kutumika dunian helayao ndipo labda watakubali kua matajiri