China yajibu mapigo-Yapandisha kodi kwa bidhaa za USA

Makampuni mengi ya kimarekani sasa yanapanga kuondoka China kwenda kuwekeza Vietnam, Thailand, Malaysia, Mexico, Argentina nk, wewe bado unaiwaza China.

China sasa uchumi wao uliokuwa ukibebwa na Marekani sasa unaelekea kaburini, ulikuwa kwa asilimia 6.8 mwaka jana na mwaka huu utakuwa kwa 6% na mwakani utaporomoka hadi -6%.

Ninaomba unitajie hayo makampuni mkuu, unadhani kuhamisha viwanda ni mchezo mchezo?
 
Please, sijaitaja India.
Nchi yeyote utakayo itaja bado haita isaidia india yani hata viwanda vikipelekwa ufilipino unadhani hao wafilipino hawata chukua hiyo tech na kama wasipochukua watakua wajinga

Yani ni sawa hapa aje muhindi afungue kiwanda cha pikipiki from scratching halafu tukae nae miaka kumi bila sisi ku acquire hiyo tech hata kama hawataki kutupa basi tutakua wapuuzi sana me nina kuambia hata kile kiwanda cha magari cha nyumbu cha kibaha kama taifa tungekua na akili leo hii tungekua tuna tengeneza magari yetu wenyewe from scratching kabisa,na ndio moja ya kazi ambayo watu wa usalama wanatakiwa wafanye ni ujajusi wa kiuchumi huo unafanya kila aina ya njia kuiba technology kutoka sehemu nyingine.

mataifa mengi ya ulaya ikiwepo na marekani na japan wote hawa wameiba tech ya kutengeneza magari kutoka ujerumani kwa carl benz

Tech ya satellite usa kaibia kutoka russia na russia nae tech rocket kaiba kutoka germany yani hapo mkuu ni ujajusi tu wa kiuchumi ukikaa nyuma kama sisi waafrika unaachwa kwenye kila sector huwezi amini wazungu wametuzidi mpaka ujinga

Tumekalia tu kuwaminya wapinzani wale wazee wa vitengo ilitakiwa wasambae kwenye nchi zilizo endelea wawe wanaiba tech tukisambaza watu smart inawezekana kabisa na wanaweza kwenda kwa gear hata ya kusoma na ndio dunia inavyoenda hivyo

Usishangae china kuchukua/kuiba tech kwa USA maana na USA nae kaiba sana tech toka nchi za ulaya hasa Germany na UK.

The world is a circle mkuu.
 
Kuna kitu wengi hamwelewi, kuna components za Apple tena nyingi tu zinatengenezwa Marekani na kusafirishwa China na kufanyiwa assembly huko China na suppliers kama Foxconn na Pegatron na baadaye finished products kusafirishwa kwenda kuuzwa tena Marekani.

Chips nyingi kwa ajili ya utengenezaji wa simu za iPhone za Apple hutengenezwa Marekani na baadaye kusafirishwa hadi China kwa ajili ya kuunganishwa.

Tatizo la China na US sio trade balance tu that favours the former but Intellectual Property Theft and unfair trade practice by China.

Na kama Chinese exports to the US worth over USD 500 billion will be barred from entering US then the China's economy will decline dramatically.
Wote hawa wata athirika mkuu tena usa ita athirika kupitia company zake kubwa

USA ina deficit balance karibia robo tatu ya nchi zilizopo G20 yani kuanzia mexico na nyingine nyingi je walikua wapi na wakati zamani wao ndio walikua manufacturing hub ya dunia?

Hapa usa atajikuta anaweka tarrifs almost kwa kila nchi maana ameisha anza kuwasumbua europe

Mbona china na european union hawana deficit kubwa na europe hawa lalamiki sababu wana balance deficiti yao sehemu nyingine sio kama USA
 
Ninaomba unitajie hayo makampuni mkuu, unadhani kuhamisha viwanda ni mchezo mchezo?
Anafikiri ni kama kuhamisha soko la mwanjelwa kulipeleka iyunga

Na nchi yeyote ambapo usa atapeleka viwanda asitatarajie kwamba hatoibiwa hiyo tech yake vile vi nchi vya asia watu wake wapo smart sana na tutarajie kabisa hiyo nchi itakayo pelekewa viwanda itanyanyuka kiuchumi na baadae usa ataanza tena kuona wivu

Solution kwa usa ni kurudisha viwanda nyumbani kwao na azalishe bidhaa na kuanza kushindana sokoni na mataifa mengine tena bila ubabe wa vikwazo tuone dunia itakuwaje

Leo hii anataka nord stream 2 lile bomba la gas linaloenda germany lipigwe sanctions yani ni wivu tu.
 
Kuna kitu wengi hamwelewi, kuna components za Apple tena nyingi tu zinatengenezwa Marekani na kusafirishwa China na kufanyiwa assembly huko China na suppliers kama Foxconn na Pegatron na baadaye finished products kusafirishwa kwenda kuuzwa tena Marekani.

Chips nyingi kwa ajili ya utengenezaji wa simu za iPhone za Apple hutengenezwa Marekani na baadaye kusafirishwa hadi China kwa ajili ya kuunganishwa.

Tatizo la China na US sio trade balance tu that favours the former but Intellectual Property Theft and unfair trade practice by China.

Na kama Chinese exports to the US worth over USD 500 billion will be barred from entering US then the China's economy will decline dramatically.
Unafair kivipi na wakati walikubaliana kwenye mikataba na haya mambo ya soko huria na sheria za WTO zote zimetungwa na marekani leo hii naona anaziona ni mwiba kwake.
 
Lengo la Trump ni kutaka kukimbiza viwanda china kwenda mataifa ya jirani kama Taiwan, Vietnum, Korea Kusini, Japani, Malaysia, india na nimemsikia rais wa Taiwan anavikaribisha viwanda haraka iwezekanavyo maana wao hawanaa mgogoro na USA.

China anauza high tech industrial products nyingi Marekani kuliko nchi yoyote Duniani, sasa kama USA akiweka vikwazo China atauza wapi? Vidanda vingi vikubwa China vinapanga kuhamia mataifa ya jirani ili wasizurike na huu mgogoto.

Kwa hapa USA kawashika wachina vibaya, ana genuine claims, China amekua akitumia one sided world trade organization kwa faida yake ndio maana USA ilijitoa baada ya Trump kuingia.

Marekani anailam China kwa kusubsidize wakulima wake, money manipulation, ujanja ujanja, sasa Trump anataka ufike Mwisho.

Katika hili Trump has ana upper hand. China must bow to USA demands otherwise they will suffer kwa sababu USA ana uwezo wa kutokuuza China na bado asidhurike ila sio China.

Marekani kawabana vibaya.
Mfumo wa maisha wa china na usa ni vitu viwili tofauti kabisa

USA ni capitalist na china ni political capatilism(mixed socialism) kwa hiyo lazima china wa control pesa yao kutokana na mfumo wao wa maisha na hawaja amua kufuata democracy na sio lazima kuifuata na kupanga ni kuchagua mkuu ndio maana usa kuna uchaguzi na china hakuna

Au kuna sehemu imeandikwa kila nchi lazima ifuate democracy?
 
Hilo sio lengo kwa mujibu wa yeye mwenyewe anataka viwanda vilirudi usa

Juzi hapa kuna kiwanda cha pikipiki kinaitwa davison kilitaka kihame usa kwa sababu ya gharama za uzalishaji trump akatia ngumu akasema wakihama atawagonga tarrifs za kutosha

Swali la kujiuliza kwa nini usa iliua viwanda vyake nyumbani na kupeleka china kulitokea mazingira gani usa mpaka wakaamua kuhamishia viwanda china au walishikiwa mtutu wa bunduki?

Na je walivyofika china walikua hawasomi hiyo mikataba ya technology transfer hao nao walikua kama mangungo wa msovero na carl peters?
 
Kuna mahala nimezungumzia demokrasia?
 
Ndio, anataka viwanda virudi USA au nchi nyingine

Ni kweli, anataka vibaki huko USA au nchi kama Malaysia, Taiwan, Vietinam, India, Korea Kusini, Japan na nchi za jirani.

Viwanda vilienda kule sababu ya cheap labour lakini pia waliahidiwa watakua na exclusive rights kwa kuuza Marekani.

Mikataba haikuonyesha kua kuna forced technological transfer. Ila walipofika China ikawa inaaalazimisha wawe na partners wa kichina lakini pia kwenye board members waweke viongozi wa chama cha kikomunist.

Trump hilo hataki tena ndio maana amejitoa WTO kwa kua ilikua inaibeba China.

Mauzo ya China kwenda USA ni zaidi ya mara 5 ya mauzo ya Marekani China, kwa sasa Marekani kawashika pabaya China.

Viwanda biendelee kuwekeza China vipambane na vikwazo au vihame kwenda nchi ambazo hazina vikwazo, nchi kama Taiwani inawakaribisha sana wawekezaji.

China alimisuse makubalianao ya awali.
 
Hapo ni sawa na israel na palestina, mwenzako ameua watu wako ishirini wewe uliyeua mmoja ndiyo unashangilia ushindi, marekani wameweka tariffs za zaidi ya 460 billions of dollars na wamesema china wakilipa kisasi wataweka tariffs kwenye bidhaa zote za china sasa hapo nani ataumia
China wana export more to US kuliko US wanavyo export china hebu tumia akili
 
Nilitarajia hii retaliation...Trump afahamu kwamba vita hii huwa haina mshindi wa wakati wote...na pinch ya hiki wanachofanya hawa wababe wawili tutakaofeel ni sisi huku developing nations.
Kivipi mkuu sisi tunaumia. Waki sis ndio tuna advantage.
 
Kukiwa na vita ya kibiashara kati ya nchi mbili, kwa kutunishiana misuri kama ifanyavyo USA na China, basi asilimia kubwa yule ambaye amekuwa akiuza zaidi kwa mwenzake ndiye ataathirika zaidi.

Wabobezi wanasema USA ni mwagizaji mkuu wa bidhaa toka China. Pia hawahawa wataalamu wanasema pamoja na US kukaza msuri kwa China na kisha China kulipiza, bado dollar ya Kimarekani inazidi kupata nguvu. China hawezi kaza sana msuri kwa sababu yeye si mnunuzi mkubwa toka USA.

Wataalamu wanasema ingawa China inaweza kuathiri mauzo ya kampuni za USA zilizopo ndani ya China kama Apple na GM, bado iPhone zinazouzwa China zinazidi zile zinazouzwa USA na kampuni ya magari GM inauza magari zaidi nchini China kuliko USA.

Wataalamu waliomo humu labda watatujuvya zaidi.
Wataalamu gani hao, faux news?
Kwenye hii Vita wote wanaumia ila atakaeumia zaidi ni China sababu China anauza sana Marekani kuliko Marekani anavyouza China hapa tunaweza sema Marekani ni mnunuzi ilhali China ni muuzaji. Mnunuzi akikataa kununua bidhaa hapa atakaethirika zaidi ni muuzaji sababu mnunuzi anaweza kwenda kununua hizo bidhaa mahali pengine tofauti na muuzaji ambae itakua ngumu kwa yeye kupata solo lingine kama lile kwanza.
Hiyo Kusema Marekani haitaumia ni nadharia tuu, nikiwa nimeishi hapa Marekani toka utawala wa Clinton, Bush, Obama na sasa Trump naelewa kiundani jinsi Marekani ilivyo. Watu wameongelea makampuni kama Apple kuathirika ila kiuhalisia ni zaidi ya hapo.

Kila kitu kinachotumika na Mmarekani wa kawaida kwa matumizi ya nyumbani kama matoy ya watoto, vyombo vya nyumbani, vifaa nya umeme nk, vyote vinatoka China. Ni kweli wanasiasa na matajiri hawataumia lakini wananchi wa kawaida (97%) wataumia sana.

Wamarekani kuanzia kizazi cha "baby boomers" walizoeshwa kutumia vitu na kutupa vinapoharibika (consumerism). Gharama za uzalishaji zilipozidi wakapeleka viwanda nje ili bei ya bidhaa isiongezeke na maisha ya kutupa vitu yaendelee. Sasa kama wakizuia bidhaa za gharama nafuu kuingia unafikiri maisha ya wamarekani yatakuwaje? Hapa hamna mafundi saa, washona viatu, mafundi TV n.k, kitu kikiaharibika unatupa na kununua kingine.

Mbadala wa mnunuzi ni mkubwa ukilinganisha na wa muuzaji.
Hizo bidhaa zinazozalishwa China wawekezaji wakiona hawapati faida wanaweza kuamua kuhamisha viwanda vyao kwenye nchi nyingine za karibu Kama vile India, Indonesia,Taiwan,nk zikaenda Marekani.
Je kwa China?!
Tatizo la hizo nchi nyingine ni miundombinu ya kuendana na hivyo viwanda. Unapokuwa na kiwanda lazima uwe mlolongo wa viwanda vidogo vidogo vitakavyokusaidia kufanya kazi. Viwanda kama vya kukuletea screws, clips, nuts&bolts n.k, China wamejitosheleza ndiyo maana makampuni mengi yalikimbilia huko. Sasa utakuta nchi kama India, inakosa mifumo hiyo na kufanya gharama za uzalishaji kuongezeka na hivyo kupunguza faida kwa mwenye kiwanda.
Wanaoumia zaidi ni wananchi wa marekani, kwa kuwa watapata bidhaa zile zile ambazo zinatengeneza china kwa gharama kubwa, production cost ya bidhaa per unit kwa marekani na china ni tofauti sana, china more cheap na matajiri wa US wamegoma kurudisha viwanda ndani kwa sababu ya gharama kubwa za uzalishaji, Marekani anaongeza tariff kwenye hadi malighafi za uzalishaji wkati mwenyewe hana uwezo wa kupata hizo malighafi kwa viwanda vya ndani...marekani hawezi kuepuka bidhaa za china
Sasa kabisa.
 
Ndio, anataka viwanda virudi USA au nchi nyingine
Hayo ni maneno ya wanasiasa tuu, kiuhalisia viwanda vya aina hiyo Marekani ni historia, sikuhizi biashara ya utoaji huduma ndiyo mpango mzima, ndiyo maana makampuni ya tekinolojia yanaota kama uyoga.

Gharama ya kuendesha kiwanda ni kubwa sana hapa, hasa kwa bidhaa zenye thamani ndogo. Sheria za kumlinda mfanyakazi ni nyingi sana na sheria mpya zinazidi kutungwa kila siku. Mambo ya Unions na bima za afya yanapunguza sana faida ya wenye viwanda.

Mtu amezoea kutengeneza bidhaa zake China ambapo hakuna sheria ya kumlipa mtu overtime, akimlipa kibarua wake $0.4 kwa saa kamaliza . Utamshawishije arudishe kiwanda Marekani kukabwa na masheria chungu mzima na kumlipa kibarua $15 kwa saa huku akilipia mambo mengine kibao kama bima. Hizo gharama utalipia wewe?
Viwanda biendelee kuwekeza China vipambane na vikwazo au vihame kwenda nchi ambazo hazina vikwazo, nchi kama Taiwani inawakaribisha sana wawekezaji.
Hizo nchi hazina miundombinu ya kiufanisi na kwa gharama nafuu kama China.
 
Kivipi mkuu sisi tunaumia. Waki sis ndio tuna advantage.
Hatuwezi kuwa na advantage anyhow...China na Marekani waki engage kwenye business battles fahamu kwamba trends za masoko maarufu ya hisa duniani ambayo ni Beijing SEM na NYSE la New York yana shake,pia chumi zao zitayumba...na huo myumbo wa stock exchange markets unatafsiriwa kwenye myumbo wa global economy japo kwa pasenti ya kadri suala ambalo moja kwa moja linatuathiri sie akina naomba naomba kwa sababu tunawategemea hao wababe kwa mikopo,ruzuku na misaada...wakidoda,tunadooda.
 
Kwani mkuu unajua hayo masoko yanafanya kazi vipi. Kama mfano US wakiongeza tax kweny bidhaa za china, maana yake hizo bidhaa zitakuwa very expensive , that means consumers watashift kwenye bidhaa ambazo ni alternative (serve the same purpose), that means they create chance for others to sell the similar product in US assuming chinese products are now expensive. Pia ukija kwenye stock exchange, hizo kampuni za china whether in china or US, investors will no longer invest in those companies, therefore the new selling companies in US will now have more investors. Sisi hatutokua affected hapo.
 
Usitamke neno Tiss....hawa wamebobea kwenye wapinzani...hata awe mwezini ataletwa kwa muujiza wa hatare sana but sio mambo ya ujasusi wa uchum
Nchi yeyote utakayo itaja bado haita isaidia india yani hata viwanda vikipelekwa ufilipino unadhani hao wafilipino hawata chukua hiyo tech na kama wasipochukua watakua wajinga

Yani ni sawa hapa aje muhindi afungue kiwanda cha pikipiki from scratching halafu tukae nae miaka kumi bila sisi ku acquire hiyo tech hata kama hawataki kutupa basi tutakua wapuuzi sana me nina kuambia hata kile kiwanda cha magari cha nyumbu cha kibaha kama taifa tungekua na akili leo hii tungekua tuna tengeneza magari yetu wenyewe from scratching kabisa,na ndio moja ya kazi ambayo watu wa usalama wanatakiwa wafanye ni ujajusi wa kiuchumi huo unafanya kila aina ya njia kuiba technology kutoka sehemu nyingine.

mataifa mengi ya ulaya ikiwepo na marekani na japan wote hawa wameiba tech ya kutengeneza magari kutoka ujerumani kwa carl benz

Tech ya satellite usa kaibia kutoka russia na russia nae tech rocket kaiba kutoka germany yani hapo mkuu ni ujajusi tu wa kiuchumi ukikaa nyuma kama sisi waafrika unaachwa kwenye kila sector huwezi amini wazungu wametuzidi mpaka ujinga

Tumekalia tu kuwaminya wapinzani wale wazee wa vitengo ilitakiwa wasambae kwenye nchi zilizo endelea wawe wanaiba tech tukisambaza watu smart inawezekana kabisa na wanaweza kwenda kwa gear hata ya kusoma na ndio dunia inavyoenda hivyo

Usishangae china kuchukua/kuiba tech kwa USA maana na USA nae kaiba sana tech toka nchi za ulaya hasa Germany na UK.

The world is a circle mkuu.
 
Lakini mm nawaza hawa USA miaka na miaka ni watu wa strategy sana, mbona kampuni zile za kipuuzi tu ndio wanahamisha kwa nn kampuni zoote za maana za billions of billions hazikwenda china?
Hilo sio lengo kwa mujibu wa yeye mwenyewe anataka viwanda vilirudi usa

Juzi hapa kuna kiwanda cha pikipiki kinaitwa davison kilitaka kihame usa kwa sababu ya gharama za uzalishaji trump akatia ngumu akasema wakihama atawagonga tarrifs za kutosha

Swali la kujiuliza kwa nini usa iliua viwanda vyake nyumbani na kupeleka china kulitokea mazingira gani usa mpaka wakaamua kuhamishia viwanda china au walishikiwa mtutu wa bunduki?

Na je walivyofika china walikua hawasomi hiyo mikataba ya technology transfer hao nao walikua kama mangungo wa msovero na carl peters?
 
China atanyoosha mikono kwenye hili kabisa nakwambia, kwanza wewe angalia mwenzio kaweka B200 yeye analipiza B60,,majibu yanayofuata hapo ni B500, pia jamaa kashasema sio lazima kufanya business na china, na ndio hass analotaka...kwenye hili kwa kweli china akubali tuu yaishe
Ma huawei yameshapigwa ban USA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom