The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,309
- 20,326
Makampuni mengi ya kimarekani sasa yanapanga kuondoka China kwenda kuwekeza Vietnam, Thailand, Malaysia, Mexico, Argentina nk, wewe bado unaiwaza China.
China sasa uchumi wao uliokuwa ukibebwa na Marekani sasa unaelekea kaburini, ulikuwa kwa asilimia 6.8 mwaka jana na mwaka huu utakuwa kwa 6% na mwakani utaporomoka hadi -6%.
Ninaomba unitajie hayo makampuni mkuu, unadhani kuhamisha viwanda ni mchezo mchezo?