Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,047
Mwambieni apambane kwanza kufufua kiwanda cha urafiki. Mziki wa Marekani hauwezi
Inawauma kweli jamaa wa "Westside "!
Inawauma kweli jamaa wa "Westside "!
USA na CHINA wote wanatuangalia sijui tuna nn.Lissu anatakiwa kuwajibika kisiasa na kiharaki kwa kuchafua taswira ya Tanzania.
Nilisoma hii ila ukweli ni kwamba China bado! me ni mdau mkubwa Wachina sana labda baada ya miaka 30 ila kwa sasa us bado anaweza kutunyooshaFYI last week China has become the biggest economy in the world, overtaking the USA.
peleka huo uongo wako kwenu.kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Move over America: China overtakes US as world's biggest economy (kind of)
Move over America: China overtakes US as world's biggest economy (kind
''China has finally overtaken the USA as the world's biggest economy - at least when the figures are adjusted for Purchasing Power Parity.
According to the International Monetary Fund the combined purchasing power of China's citizens now outstrips that of America's. And by the end of the year will China should make up 16.48 per cent of the world's purchasing-power adjusted GDP for a total of $17.632 trillion (£11 trillion).
The US, by contrast, will make up 16.28 per cent, or $17.416 trillion.
Purchasing power parity seeks to address the fact that while wages tend to be lower in “developing” countries than in mature economies like the US, the price of goods and servicing is also typically much lower.
The Economist's Big Mac Index, for example, quotes the price of the McDonalds staple in July at $4.80 in the US, but just $2.73 in China.
PPP, therefore, bases economic output on what a country's citizens can purchase, as opposed to an unadjusted GDP figure using market exchange rate, which is more often quoted.
However, the figure is controversial. It requires the comparison of a huge amount of goods and services, and is therefore a vast statistical undertaking that can only be conducted infrequently with estimates used during intervening periods. The methods used to collect the data have also led to controversy in the past.
When it comes the raw GDP data base on exchange rates, China will eventually also overtake the US if it carries on growing as it has, but that is still likely to take many years.''
Kweli kabisa mkuu kajaa kashikia mifumo yote ya pesa ambazo ni silaha hatari sana kwetu na uchumi wetu bila dola sisi ni wafu jiwe kajitaidi miondo mbinu je kuna ambao unaingiza pesa za kigeni 🙆Waache tu waendelee kumtia ujinga. Wanadhani Marekani ni Kenya wanaowafungia mpaka 😂😂
Even the Roman empire lasted for several years.Nilisoma hii ila ukweli ni kwamba China bado! me ni mdau mkubwa Wachina sana labda baada ya miaka 30 ila kwa sasa us bado anaweza kutunyoosha
unajua dola inamilikiwa na nan?Kweli kabisa mkuu kajaa kashikia mifumo yote ya pesa ambazo ni silaha hatari sana kwetu na uchumi wetu bila dola sisi ni wafu jiwe kajitaidi miondo mbinu je kuna ambao unaingiza pesa za kigeni 🙆
Sasa wewe ndo jiulize na akili za kuambiwa changanya na za kwako! Kama China kamzidi Marekani kiuchumi inakuwaje ameshindwa kufufua kiwanda cha urafiki tu hapo Mabibo???😂😂Move over America: China overtakes US as world's biggest economy (kind of)
Move over America: China overtakes US as world's biggest economy (kind
''China has finally overtaken the USA as the world's biggest economy - at least when the figures are adjusted for Purchasing Power Parity.
According to the International Monetary Fund the combined purchasing power of China's citizens now outstrips that of America's. And by the end of the year will China should make up 16.48 per cent of the world's purchasing-power adjusted GDP for a total of $17.632 trillion (£11 trillion).
The US, by contrast, will make up 16.28 per cent, or $17.416 trillion.
Purchasing power parity seeks to address the fact that while wages tend to be lower in “developing” countries than in mature economies like the US, the price of goods and servicing is also typically much lower.
The Economist's Big Mac Index, for example, quotes the price of the McDonalds staple in July at $4.80 in the US, but just $2.73 in China.
PPP, therefore, bases economic output on what a country's citizens can purchase, as opposed to an unadjusted GDP figure using market exchange rate, which is more often quoted.
However, the figure is controversial. It requires the comparison of a huge amount of goods and services, and is therefore a vast statistical undertaking that can only be conducted infrequently with estimates used during intervening periods. The methods used to collect the data have also led to controversy in the past.
When it comes the raw GDP data base on exchange rates, China will eventually also overtake the US if it carries on growing as it has, but that is still likely to take many years.''
Niambie mkuuunajua dola inamilikiwa na nan?
Inawezekana uko sahihi...details za Robert Amsterdam na mzee wa faragha Bila Shaka hizo ni sahihiNdoto na fake details ,ndio zinafanya muwe hiviu?
Hili swali jiulize wewe!! Unajua maana ya dollar economy???unajua dola inamilikiwa na nan?
Niambie mkuu
Hili swali jiulize wewe!! Unajua maana ya dollar economy???
Sawa...Robert Amsterdam nasikia ameshafika kuwapa maelekezo mawakala wenuWee mburula nani anakukuna saa hizi? Tunaongelea onyo la China kwa Marekani kuingilia uchaguzi wa Tanzania na siyo nguvu za uchumi na kijeshi za Marekani, Urusi na China!
Sasa wewe unashangaa china vichaa kumuonya Marekani!! Mbona ata Omar Al Bashir alishawai kuwaonya Marekani. Yuko wapi saivi???dogo nakwambia bado upo blank kwenye uchumi wa dunia, wewe bado uko zama za marekani, unashangaa china wanamuonya marekani, we ulidhan watashika dunia mazima
China ni kidampa tu kwa Marekani we dogo!! Marekani ni Taifa kubwa na mkileta ujinga wenu watamfanyia huyo Jiwe wenu kama walivyomfanyia Manuel Noriega