Si akaweke new york.shida ya nini?Mchina sijui ni lini ataacha woga. Mmarekani wameweka mtambo tu.
Lakini mchina yeye tayari ameisha anza kutikisa mkia.
Mkuu hiyo kitu tokea Feb china, Russia na wakorea wote walianza kuilalamikia uwe unasoma news mpya gani hiyo habariWw acha uongo hiyo habari ni ya jana
Mimi ndo naiona saizHabari ya kitambo karibu mwezi unaisha sasa unaileta leo..humu na ishawahi kuletwa
Mkuu hiyo kitu tokea Feb china, Russia na wakorea wote walianza kuilalamikia uwe unasoma news mpya gani hiyo habari
China Really Hates THAAD (But So Does Russia)
Huko kupinga kupo tokea mitambo inasimikwa so hilo jambo sio jipya heading badilisha acha upuuzi wa akili uandike kuhusu raisi mpya na sio kuhusu Thaad. Waandishi makajanja huandika Vichwa vya habari tofauti na jumbe ndaniacha ubishi wewe, rais wa china kampigia simu rais mpya wa s.korea na wakazungumzia huo mtambo. sasa rais mpya ana mwezi?
Habari ya kitambo karibu mwezi unaisha sasa unaileta leo..humu na ishawahi kuletwa
acha ubishi wewe, rais wa china kampigia simu rais mpya wa s.korea na wakazungumzia huo mtambo. sasa rais mpya ana mwezi?
Huna pa kuanzia tofauti na heading. Kuwa mwelevu ndio maana mnafail hamsomi instructionsKwani Rais wa korea Kusini alikuwa yupi na sasa ni yupi, labda tuanzie hapo.
Huyo rais mpya kama atakuwa na mawazo hayo basi hatachukua round.Binafsi nachukulia onyo la China kama ni janja ya Ti Xing ping akishiriana na Rais mpya wa Korea Kusini kumpa kisingizio Rais wa korea kusini ili atakapo kutana na Trump amwambie kwamba Makombora hayo yanapingwa na raia wengi wa Korea Kusini pamoja na Serikali ya Uchina na Urusi atamshurutisha Trump asitishe/ondoe makombora hayo Korea Kusini.
Rais wa sasa wa Korea Kusini ni mzaliwa wa Korea Kasikasini ana ndugu zake wengi Korea kasikazini, hapendi kabisa pawepo mafarakano kati ya Korea mbili - juzi alisema anataka viwanda ambavyo vilikuwa mpakani mwa nchi hizi mbili vifunguliwe tena ili Wakorea Kasikazini waendelea kufanya kazi kwenye joint ventures zinazo milikiwa na nchi hizi mbili, hii inadhilisha wazi kwamba yeye anapenda yawepo maelewano baina ya Korea Kasikazini na Kusini amepanga kufanya ziara Korea Kasikazini - Amerika haipendelei Mataifa haya yaelewane sasa sijui watafanya nini ku contain Rais wa Korea kusini.
Ubishi wa kiwango cha lamiMkuu hiyo kitu tokea Feb china, Russia na wakorea wote walianza kuilalamikia uwe unasoma news mpya gani hiyo habari
China Really Hates THAAD (But So Does Russia)
Habari ikiwa mpya ni mpya tu na kama ya kale ni ya kale tuUbishi wa kiwango cha lami
Huko kupinga kupo tokea mitambo inasimikwa so hilo jambo sio jipya heading badilisha acha upuuzi wa akili uandike kuhusu raisi mpya na sio kuhusu Thaad. Waandishi makajanja huandika Vichwa vya habari tofauti na jumbe ndani
Haujui masuala ya diplomasia ya kimataifa wewe, ficha ujinga wako.Mchina sijui ni lini ataacha woga. Mmarekani wameweka mtambo tu.
Lakini mchina yeye tayari ameisha anza kutikisa mkia.