China yageuza satellite yake kuchunguza ndege feki ya Marekani

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
4,169
9,498
China iligeuza uelekeo wa satellite yake ya uchunguzi wa nyendo za adui kuichunguza ndege feki (China walidhani ni ndege halisi) ambayo ilikua ikitengenezwa na kampuni kubwa ya uundaji WA silaha ya Marekani Lockheed Martin.

Waandaji wa filamu ya Topgun ambayo ni maarufu Kwa mapigano ya ndege walishirikiana na Lockheed Martin kutengeneza ndege feki iitwayo 'Darkstar' yenye Kasi mara tano ya Kasi ya sauti ambayo itaonekana kwenye filamu hiyo ambayo itatoka rasmi mwishoni mwa mwezi huu.

Ndege hiyo ilionekana halisi kiasi ambacho iliwafanya Uchina kugeuza uelekeo wa satellite yao kuichunguza zaidi ndege hiyo, Jeshi la maji la Marekani liliwaambia watengenezaji wa filamu hao bwana Bruckheimer alieleza.

Watengenezaji hao wa filamu wanaeleza kwamba walifanya kazi pamoja na mainjinia WA Lockheed Martin ili kupata kitu chenye uhalisia.

The fake hypersonic plane in 'Top Gun: Maverick' looked so real that China moved a satellite to see it, Jerry Bruckheimer says

The Navy told us that a Chinese satellite turned and headed on a different route to photograph that plane. They thought it was real. That's how real it looks," Bruckheimer told Sandboxx News.

The reason we approached Skunk Works is because I wanted to make the most realistic hypersonic aircraft we possibly could. In fact, as you saw, we built it full-scale in cooperation with them," Kosinski told Sandboxx News. "But the reason it looks so real is because it was the engineers from Skunk Works who helped us design it. So those are the same people who are working on real aircraft who helped us design Darkstar for this film."
 
Back
Top Bottom