China walifanya mambo haya wakapata maendeleo

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
Wakati sisi tunasubiri misaada na kusali ili maisha yawe safii
Wenzetu walikomaaa walivimbaa walifanya njia nyingi

Njia na mpango hao

Focused investment in
human capital (health and education) during the early years of development.

Comprehensive land reform that led to equitable distribution of income/wealth, also early on.

A balanced mix between government intervention and involvement of the private sector with a large export orientation.

Monetary and fiscal policy focused on providing a stable macro-economic.

Sisi kwetu government intervention. Umekuwa kubwa zaidi
Uchumi haujitawali hakuna usawa
(Demand and supply) ndio zifanye masoko sisi ngoja tuombe
 
Kuna mengine makubwa yalikuwa
1. Kuunganisha mini na vijiji kwa Barbara za lami
2. Kusambaza umeme vijijini
3. Kujenga viwanda malighafi ilikopatikana na sio kusafirisha malighafi kwa mabomba kufwata kiwanda
4. Kulifanya jeshi kituo cha uzalishaji,
Hii at a mwl. Nyerere aliikopi akaanzisha jkt, mainjinia, madaktari bingwa, walimu wazuri, wakulima bora, watoke huko.
 
Aliesema hapa Kazi tu yeye likizo kaenda mapema, unacheza na kukosa MCC, afu Wahisani wanajitoa 10, kesho Britain inajitoa mdogo mdogo EU nao wajitoe.... mwaka huu lazima tuheshimiane aisee
 
Sijui kama umemuelewa mleta mada!!
 
ni sawa sema ndo ivo maisha hayana formula malumu kila mtu anakuwa na upande wake?!
 
Alafu Leo kwenye sky news naona wachina sana academy ya mpira safii wanakaulimbiu yao hivi .....to win the world cup watoto wadogo Sana'a.
 
China imepewa sana misaada na Japan na USA wakati wako hohehahe....
With that fact kwamba walipewa misaada sio mbaya na inaonyesha walitumia misaada yao ipasavyo coz na sisi pia na nchi nyingi za Africa tumepewa misaada from late 80's to date but where are we? Mwaka 61 wakati tunapata uhuru tulikuwa atmost the same level of development with China but 50 years down the road wametuacha mbali saaaaaana. Wao walikuwa~commited and they had plan, policy, vision & mission of what they had to do. Sisi mipango na malengo yetu kila siku inaishia kwenye makabrasha. Na bado ndio kama hvyo wahisani wanatuzingua na pesa zao za MCC
 
China imepewa sana misaada na Japan na USA wakati wako hohehahe....
China imeacha lini kupewa misaada kama wanavyosema in 1970's sisi na China tulikuwa karibu sawa kiuchumi Je!!!! Sisi tulifia wapii,.....

China uza dawa za kulevya uone

Nikuibie siri iko hivi China hakuna dini
 
Wakati sisi tunasubiri misaada na kusali ili maisha yawe safii
Wenzetu walikomaaa walivimbaa walifanya njia nyingi

Njia na mpango hao

Focused investment in
human capital (health and education) during the early years of development.

Comprehensive land reform that led to equitable distribution of income/wealth, also early on.

A balanced mix between government intervention and involvement of the private sector with a large export orientation.

Monetary and fiscal policy focused on providing a stable macro-economic.

Sisi kwetu government intervention. Umekuwa kubwa zaidi
Uchumi haujitawali hakuna usawa
(Demand and supply) ndio zifanye masoko sisi ngoja tuombe
UMESAHAO KULE WANANYONGA MAFISADI NA WALA RUSHWA
 
China imeacha lini kupewa misaada kama wanavyosema in 1970's sisi na China tulikuwa karibu sawa kiuchumi Je!!!! Sisi tulifia wapii,.....

China uza dawa za kulevya uone

Nikuibie siri iko hivi China hakuna dini
HAPO mwisho kabisa kutokuwa na dini sio kigezo cha maendeleo. wana dini ya kuabudu kutokuwa na dini
 
Hujaelewa wacha kusoma mstari mmoja!

Read whole utapata content
Kuna kitu kwenye philosophy wanasema
@univocally @equvocally
 
macho yao yanawasaidia kuona mbali na ndio maana ukitaka kuona mbal unafumba jicho moja sasa wao automatic hawaitaji
 
Wakati sisi tunasubiri misaada na kusali ili maisha yawe safii
Wenzetu walikomaaa walivimbaa walifanya njia nyingi

Njia na mpango hao

Focused investment in
human capital (health and education) during the early years of development.

Comprehensive land reform that led to equitable distribution of income/wealth, also early on.

A balanced mix between government intervention and involvement of the private sector with a large export orientation.

Monetary and fiscal policy focused on providing a stable macro-economic.

Sisi kwetu government intervention. Umekuwa kubwa zaidi
Uchumi haujitawali hakuna usawa
(Demand and supply) ndio zifanye masoko sisi ngoja tuombe
China manipulated their situation and exploited donor, friends and currency
 
Back
Top Bottom