China wakanusha vikali kuhusu kupora uwanja wa Ndege Entebbe nchini Uganda

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
Wadai ni kelele chache zinazopigwa kuzorotesha mahusiano ya China na Uganda

1638173428219.jpg
1638173431733.jpg
1638173434885.jpg
1638173438148.jpg


JamiiForums mobile app
 
Ko kuna waandishi/media walioleta hizi taarifa wanatafuta kiki sio..!? Wanamchokoza mu7
 
Kwenye constipation umeniuwa mbavu mkuu
😄😄😄 Uganda hata Corona ilivyoingia kwao walisema popobawa kutoka Rwanda ndio wameleta hio Corona huko Uganda, siku 1 Waziri wao mwingine wa mazingira akasema Uganda ni chafu kwa sababu Rwandair hua inabeba uchafu wa takataka kutoka Rwanda na kuurushia uganda.Imagine akili Kama hizo mkuu 😄😄😄😄
 
Uganda hata Corona ilivyoingia kwao walisema popobawa kutoka Rwanda ndio wameleta hio Corona huko Uganda, siku 1 Waziri wao mwingine wa mazingira akasema Uganda ni chafu kwa sababu Rwandair hua inabeba uchafu wa takataka kutoka Rwanda na kuurushia uganda.Imagine akili Kama hizo mkuu
Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Kwa kipindi kirefu nchi nyingi barani Afrika zimekuwa zikiikumbatia uchina kama rafiki aside na masharti I napokea swala la maendeleo.

Linalotokea Uganda, Kenya, Zambia na Angola nadhani itakuwa funzo kubwa

Screenshot_20211130-101704_Gallery.jpg
 
Museveni ana mikwara sana, halafu anakuja kwetu kutujengea shule, sijui ametuonaje?
 
Back
Top Bottom