China to take over Zambia's power firm over loan default

Hatari kweli, MI nikidhan vyuma vimekaza Tanzania tu Kumbe mpaka Zambia.
 
Juzi tu, tumeambiwa China to aid Africa (Tanzania inclusive) with no strings attached!
Ata mwezi haujapita uku ameanza mkaba koo Zambia.
Mbinu za kizamani kweli izi
YAANI ANAKOPESHA ILI AJE CONFISCATE MALI ZA INCHI SASA SI BORA UKOLONI
 
Haya yanayotokea, ni matokeo ya sisi wenyewe tumeshindwa kujisimamia na kuwa wazalendo kwa nchi zetu. Mimi si shangai kwani viongozi na watendaji wa Afrika wanaongoza kwa ubinafsi na ndio maana maneno rushwa na ufisadi, yametawala ktk kila taasisi mpaka huko kwenye vyama vya siasa, lkn kama tungekuwa na uzalendo kama waliokuwa nao Wachina kwa nchi yao, nina uhakika hao wa China wasingetuendesha.
 
Waafrica tunatia aibu sana duniani hapa, yaani mchina kawakusanya wote beijing ili awape msaada na kuwakopesha lakini wenyewe kwenye vichwa vyetu tunashindwa hata kufanya forum pale Addis ababa ili tujadili namna ya kujitegemea na kuweka mikakati ya pamoja ili Africa ijitegemee..
Kwa mwendo huu mpaka Yesu anarudi atakuta tunapewa misaada tu. May be by then itakuwa zamu ya India au Vietnam kutukusanya kutupa mikopo na maelekezo…
 
Back
Top Bottom