China to become the world superpower in 90 years?

kweli niko nyuma... i though walishakuwa super powers!!
 
China wana matatizo matatu
1.Hawako creative kama USA technologia yao ni ya kuiga.Hili ni swala na watu wengi wenye asili ya oriento sio wabunifu ni wazuri wa kuiga na kufuata mpangilio uliopo.
2. Political System- Ni nzuri pale tu viongozi wanapokuwa wazuri kwasababu uongozi una nguvu sana kuliko wananchi. Kampuni nyingi china ni za serikali hivyo wakipata raisi mbaya au mwenye sifa kama chaves china inaweza kurudishwa nyuma kwa muda mfupi sana.
3.Watu wengi china ni masikini kuna nchi 12 (News week) za Africa zenye par capita kubwa kuliko china. Watu wataanza kutaka mabadiliko na hii itafanya china watumie pesa kusaidia masikini kuliko kufanya biashara.
 
China is yet to be a superpower...,siwezi ku predict for sure lakini wanakuja vizuri.Wana invest ktk kila sector.....,hii copy n paste wanaofanya sasa katika viwanda vyao itakuja kuwa replaced na research-invested products.Uzuri wa chinese ni flexibility waliokuwa nayo katika kazi.....wanahitaji kiongozi bora siku zote coz ni kama vile remote-controled population kwa sasa hivi,,sijui kwa hapo baadae.
Kingine ni population-capital,they spend at a very nice profit...na ndio maana kampuni nyingi zinapiga kelele kuhusu China na kutishia kuondoka but still wapo tu..kwa mfano google wamepiga mkwara wa kuondoka...China ikatunisha msuli wenyewe wamelegea.
Products zao ni cheap though undurable....lakini who cares,kwani nikinunua computer kwa half US price then nikanunua 2 products whch I can use the same time I could if I would buy the US product....furthermore I can get even a new fashion and higher spefication,ndio kinavuta watu kununua Chinese products(among others)..isipoangalia US itakuwa ni soko tu la wachina.
 
cha MUHIMU NI KU-KEEP CULTURE NADAHNI HIKI NDICHO KINACHOWASAIDIA WACHINA NA WAHINDI, THEY ARE STILL FRESH NOT CONTAMINATED MUCH WITH WESTERN, lakini ikifikia point na kuanza kukopi kila kitu kama waAfrica tunavyofanya basi huo ndio utakuwa mwisho wao, unaona nchi kama Japan na South Korea nadhani miaka michache iliyopita walikuwa juu sana zaidi ya china, lakini kwa sasa wameachwa mbali mno na China na sababu kuu ni ile mix-up na western, inafikia point sasa Mjapani na Mkorea anamsikilza mMarekani anachosema.
 
Kwa speed wanayoenda nayo hawa jamaa, naona hata 90yr ni mbali sana. Ila wanaanza kulewa sifa,wataharibu muda si mrefu.
 
nini maana ya super power???
china wanaidai marekani pesa nyingi sana.
na ni taifa ambalo uchumi wake ukiyumba na uchumi wa dunia unayumba...
 
I think 15 to 20 years
Nafikiri kwa miaka 90 huyo mtabiri yuko right. Maisha ya china vijiji unaweza kusema ni bora ya tanzania, vijijini ni ya kutisha.watu hawana maji, umeme barabara hazipitiki, hakuna ardhi ya kujitanulia. nyumba hazina samani kwa sababu mbao ni ghali mno.Sehemu za north western wengine hali ni mbaya zaidi familia hazina nguo.Ukilinganisha vijiji vya UK na china utasema miaka 90 ni michache.
 
nini maana ya super power???
china wanaidai marekani pesa nyingi sana.
na ni taifa ambalo uchumi wake ukiyumba na uchumi wa dunia unayumba...
Siyo kuidai kwa maana ya marekani walikopa china.wachina na kama nchi nyinginezo wanaamini katika stability ya uchumi wa marekali kuliko nchi zao. wananunua bond kule kwa sababu waliamini pesa zao zinaongezeka thamani kadiri dola inavyopanda. Badala ya kuweka pesa zao in Yuan wakaona ni bora iwe in USD.Nadhani nchi nyingi zinafanya hivyo
 
Jamani msicheze na hawa watu wanakuja juu sio kawaida na kwa sasa mmarekani hapati usingizi kwa ajili ya mchina.
 
Mh zhule unaweza kulinganisha china na TZ kweli, ebu tuseme tu ukweli jamani. Kwani tunapoongelea super power maana yake nini? na nimesikia wanamikakati ya kuporomosha magorofa vijijini.
 
China wana matatizo matatu
1.Hawako creative kama USA technologia yao ni ya kuiga.Hili ni swala na watu wengi wenye asili ya oriento sio wabunifu ni wazuri wa kuiga na kufuata mpangilio uliopo.
2. Political System- Ni nzuri pale tu viongozi wanapokuwa wazuri kwasababu uongozi una nguvu sana kuliko wananchi. Kampuni nyingi china ni za serikali hivyo wakipata raisi mbaya au mwenye sifa kama chaves china inaweza kurudishwa nyuma kwa muda mfupi sana.
3.Watu wengi china ni masikini kuna nchi 12 (News week) za Africa zenye par capita kubwa kuliko china. Watu wataanza kutaka mabadiliko na hii itafanya china watumie pesa kusaidia masikini kuliko kufanya biashara.

Nimekuwa china kwa zaidi ya miaka 7 sasa na bahati nzuri ni mtanzania niliyeoa China. nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. China bado sana kuwa superpower!
Mambo mengi ya China ni kuiga toka Marekani and nothing new or of theirs! Kitu chochote cha kwao wenyewe kina poor quality.... bado sana! Labda baada ya miaka 50 na kuendelea
 
Back
Top Bottom