China regrets fakes inflow into Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

China regrets fakes inflow into Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Sep 2, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  By EMMANUEL MUGA in Beijing

  China has regretted the inflow of counterfeit goods into the Tanzanian market from the Far East country and has called for joint international efforts to stem the inflow. China’s Special Envoy on African Affairs, Mr Liu Guijin, admitted here yesterday that counterfeit Chinese brands had undermined the credibility of his country’s products, saying that there was a need to fight the problem through customs.

  “There is a time when I was in Africa and I read a newspaper article talking about Chinese counterfeit products, which I think there was a point being made,” he said, at a press conference with African journalists touring Beijing. “This has undermined the credibility of Chinese products and joint international efforts are needed to change all this,’’ the envoy noted. He said China produces variety of products with different quality grades. State-owned and private factories produce the goods.

  “Private dealers always want to sell their products at much lower prices. But price goes with quality. They want to use little money to get their products into the market. But the government cannot guarantee the quality of their products,’’ Mr Liu observed. He further observed that many African countries, including Tanzania, did not have a proper mechanism to check and control imported products, which led to the inflow of counterfeits into their markets. “

  We need to come up with a joint approach to tame this illegal practice through tightening control at the customs,” the envoy advised. The Tanzanian market has been hit with counterfeit products from China that are sold at very low prices, thus affecting the economy. Members of the Consumer Advocacy Association have protested against the influx of China-made counterfeits during the Olympic Torch Relay here
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  China is a world leader of counterfeit goods. Ukiwapa contract ya kutengeneza chochote, wewe juwa kuwa, mlango wa pili wanatengeneza bandia. That is China.

  Hii wanayosema kuwa wanapiga vita hiyo counterfeit goods, to me is just another way ya kulegalize hizo feki za Uchina. They can't stop it.

  Nenda China Town, ndio utaelewa kuwa they are fighting a lost batle.

  Amerika imekuwa inapiga vita hii for years, sasa wamelaza manyanga chini.
   
 3. T

  Tom JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wachina wamesababisha yote haya ya kusambaza hizo feki, hivyo serikali ya China ilipe fidia kwa nchi masikini kama Tanzania. Waache kujisafisha na kulia lia kama vile serikali yao haina uwezo.

  Wazo la International Joint effort kuzuia feki kupitia custom si zuri kwetu (hasa linapopendekezwa na Mchina muuzaji mwenyewe) kwani itakua mzigo mkwetu wakati wao wataendelea kusambaza hizo feki bila hata ya huruma.

  Serikali ya Urusi juzi tu imewakamata na kuwatia ndani wauzaji toka China na pia imefunga soko la bidhaa za Kichina lililopo ndani ya Urusi kwa ajili ya kubana hizo feki (wakati tayari kulikua na joint control ya feki kati ya Russian customs na China), cha kushangaza serikali ya China inapiga kelele wee eti seriklai ya Kirusi haina human rights kwa kuwazuia ama kuwanyima Warusi nafasi ya kununua products wanazozipenda sana za kichina (feki: wachina wao wanaziita 'vitu vya bei ndogo'). Bila aibu serikali ya China imetoa madai ya fidia kwa serikali ya Kirusi ili wachuuzi toka China na makampuni ya kichina yaliyoingiza hizo bidhaa yalipwe fidia - hii imesababisha msuguano wa Kisiasa kati ya China na Urusi.

  China inajua products feki zinatoka wapi ndani ya China - ipo wazi kabisa, ni jukumu lao kuzuia zisitotoke ili kujipa jina zuri la nchi yao na sio sisi kwapa jina zuri kwa kuwafanyia kazi ya kuzizuia. Sisi kuzuia hizo feki ni muhimu sana lakini si wazo la kuambiwa na mchina msambazaji.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu invisible umebold jibu. Ukweli bidhaa feki zinailingia bandarini, na zinakaguliwa na kupitishwa tutakuwa wajinga sana tunapowalalamikia wachina wakati ni sisi wenyewe tunafuata hizo bidhaa feki na ni sisi wenyewe tunaziingiza na kuzitoza ushuru.

  Kama tuko serious ni lazima tuanze kwa kuwaadhibu wanaoziruhusu kupita kwenye ports zetu, wanaozitoza ushuru then tuanze kuwalalamikia China, hatuwezi kuwalalamikia kutokana na ujinga wetu.
   
 5. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Asante Mkuu kwa hii Thread, Wachina wanatisha tena sana na sio Kwetu Afrika pekee bali hata Mashariki ya kati na Marekani Kusini.

  Bidhaa zao ni Taka taka Nchini Algeria miezi mitatu iliopita kulizuka vurugu kubwa baina yao na Wajasirimali wa Nchini humo kwa madai ya kuingiza Bidhaa feki zinazofanana na Original Product zinazoingia Nchini humo kutoka Ufaransa na European Countrys kwa Jumla.

  Leo wameigeuza Magorofa yote ya kariakoo kuwa Magodown Badala ya Makazi ya kuishi watu kwa mfano utakuta nyumba ya ghorofa Nne lakini ni ghorofa moja tu wanaishi watu. zilizobakia ni Maghala(Godown) ni Hatari kwa usalama wa maisha ya watu na mali zao. Lakini kutokana na Soko la Bidhaa Feki zenye Bei nafuu wanafaidika na Wateja wengi wasio na kipato cha kutosha, hii inapelekea Kuzipandisha Kodi Nyumba nyingi na kuzigeuza Godown badala ya Makazi .

  Ghorofa Mmoja inaweza kuwa na Godown Nne Mpaka sita na kila Godown Litawekwa bidhaa kutoka katika ujazo wa Conteiner la 20 ft 1 X 6 = na tani ngapi?? Je kuna Ghorofa lanaloweza kuhimili uzito huo? Je nini kinachotegemewa kuwekwa kwa bidhaa za uzito huo katika majumba yetu haya, ili hali ni uzito usio hama kutoka mahala kwenda mahala unabaki umewekwa sehemu moja tu yani hau move.

  Tahadhari hazichukuliwi mpaka maafa yatukumbe kutokana Uroho wa pesa wa wamiliki wa Majumba kiasi imefikia sasa Maeneo kadhaa katika sehemu nyingi za Kariakoo kuna Majengo mapya yanayojengwa Godown tupu, ilihali kibao cha Construction kimeandikwa Makaazi na Wahandisi wetu wote kuanzia Ngazi ya wilaya mpaka Mkoa wapo kimya
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sasa hivi nawasikitikia akina mama na akina dada maana vile vi-always wanavyo tumia vya kichina ni feki kipindi cha mwisho au mwanzo wa mwezi wengi wanakumbwa na fungus wkt nikifanya utafiti wajanja siku hizi hawazitumii wanatumia vitambaa tu wanawashwa sana Ikulu wakizitumia hizo maana zinavyonza na hazijawekwa madawa.
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hili ni nyeti mkuu inabidi basi kwenye hospitali zetu akina mama waelimishwe, siyo kila kiuzwacho dukani ni chema. Mbona pamba ya kawaida ni nzuri tu kwa matumizi ya kukinga bleeding? kwa nini wasitumie pamba, kinacho takiwa ni kuweka pamba vizuri katikai ya kitambaa laini then mambo yanakenda tu bila shida.
   
 8. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tanzania are good entatainer of fakes, tusiwalaumu China. bidhaa ingekatalilwa bandarini ingefikaje kwenye masoko.

  Magezi hiyo Pamba unayosema itasaidia, nayo ina madhara yake kama hujaiprocess kwenye kuitumia.

  NI mkanganyiko wa mambo mengi.
   
 9. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ingalikuwa ndani ya uwezo wangu kama Taifa, ningepiga marufuku uingizajiwa bidhaa yoyote kutoka China. Full stop..!!!
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Lengo la JF ni kutoa elimu na habari pia. Naomba utuwekee walau hints jinsi ya ku-process pamba ya kawaida ili tuwaelimishe akina dada zetu na mama zetu ktk hili.
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Si serikali ya CCM inabweteka na vijinafasi vya masomo wanavyopewa na china!!! Lakini hata bila kupiga marufuku, tatizo ni rushwa pale bandarini na TBS.
   
 12. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe, Serikali yetu imesababisha Wachina na mataifa mengine makubwa watudharau.

  Tatizo hili lipo China zaidi ya hapa kwetu; Scale ya bidhaa feki zinazotoka China ni kubwa mno kwa sisi na nyenzo zetu kuweza kubadilisha takwimu. China ina watu, fedha na jukumu la kulinda bidhaa zao kwa faida yao na yetu kama watumiaji/wateja.

  Sisi tuna jukumu letu, lakini bila kupunguza kasi kule kwenye vyanzo/source ambako ni China, vita hii haiwezi kufanikiwa. Ni lazima ipiganwe kwenye pande 2 kwetu na kwao..tena kwao zaidi kwa sababu bidhaa zikishafika kwetu kuna gharama ya kuziteketeza.

  Wachina walitakiwa kuwa makini zaidi ya hivi walivyo sasa....mbona hawapeleki hii bidhaa mbovu kwa wingi hivi USA au UK??!!
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ni kweli jamii inaathirika sana hata kama madhara hayaonekani direct kwa sasa. hata kuongezeka kwa foleni pia kunachangiwa na kuingia kwa wachina wengi ambao wote wananunua magari ili kurahisisha mishemishe zao mitaa ya kati
   
 14. M

  Magezi JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Si unajua tena Tanzania mazingira ni mazuri mno hasa kama una vijisenti kidogo. Tanzania ktk Afrika ni nchi ambayo bado ina fursanyingi za kufanikiwa kimaisha ila tatizo letu ni utawala mbovu, na tusipo kuwa makini wageni wata maliza opportunities zetu.
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mambo mengine tunajitakia sababu huwa tuna-prefer kununua vya bei rahisi at our own risk. Na hao waagizaji/wafanyabiashara ndio wanawashawishi wachina watengeneze vitu vya bei rahisi vyenye viwango duni.Tuanze kwanza kurekebisha matatizo yetu ndio tuwalaumu wachina.
   
 16. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njia zote zitumike wachina wanapaswa wapige stop kutengeneza bidhaa hizi feki. Ni gharama kubwa serikali yenyewe kuzikagua bandarini, na serikali yetu haina vifaa vya kutambua aina zote za feki material.Huyo afisa amekiri kwamba yapo makampuni yanayotengeneza bidhaa za bei ya chini, ndo wanavyoita bidhaa feki hawa. wanafahamu walipo kwa sababu wanawatoza kodi. kodi ukikwepa huku ni adhabu ya kifo. Na wala rushwa wanawaua. mbona watengeneza bidhaa feki hawapewi adhabu kali? Ni mbinu ya nchi hii kuwapatia wananchi wake ajira Bila ajira kutatokea political unrest. Na ni njia ya kutupa taka. Taka zinazozalishwa kwa siku china ni bilion of tones. Pili hii threads imenielimisha sana maana mumsap wangu uwa ana washwa kumbe ni pedi za kichina.
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,335
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  A combination of various institution could enable combating the problem of counterfeit. We need to have active custom sytem, TBS,TFDA etc to stop this problem.
  Challenge tuliyonayo kubwa ni kuwa mara nyingi tunapenda kuwa reactive na sio proactive. Wajanja wanaitumia hii loophole tuliyoitengeneza.Maana kama hatuoni impact yake moja kwa moja nani ataanza kushughulikia kulimaliza tatizo?
  Ingelikuwa kama na mashangingi tunayoyanunua yangekuwa yanatoka China, halafu wakati yanatembea yakawa yanaangusha engine, hili tatizo lisingekuwepo
   
  Last edited: Sep 3, 2009
 18. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Ndugu watanzania hili Tatizo la bidhaa fake kutoka China TUMELILEA WENYEWE.
  hizi ni sababu ninazoziona

  1.njia tunazotumia kufanya biashara na china hazifai,zimepitwa na wakati.
  wafanyabiashara wa kitanzania wanaleta 90% ya vitu vibovu kutoka china.hao wahindi hapo posta ndio wanunuzi wakuu wa mabidhaa ya china.sio kariakoo tu.

  2.watanzania tunapenda kujikweza mno,mtu kaanza kazi hana hata mwaka,anataka kuwa na blackberry,LCD TV,gari,latest clothes and styles.siku tukijifunza kuwa humble ndio mambo yatabadilika.

  3.Rushwa.Rushwa.Rushwa. watanzania tunaendekeza mno rushwa.yani imefika wakati mtu TRA yuko tayari kuingiza makontena hata 100 ya vitu vibovu kwa sababu tu atapewa rushwa,something wahindi,na wafanyabiashara wa kitanzania are so willing to do.

  4.Elimu ya UMMA.watanzania si wasomaji,yani sie ni watu wa visuals tu.kitu kikituvutia we care not about what is written.hizi fake merchandizes nyingi can be traced by typos in writtings(chinese have very poor english).
  utakuta Adibas instead of Adidas etc.lakini mtu bado ananunua.

  5.TATIZO KUU KULIKO YOTE ni PROPER SUPPLY & DISTRIBUTION chains in this country are DEAD!kila kitu kiko hovyo hovyo.kwa wale tunaotaka serikali iingilie kati,serikali ingekuwa na wakati mwepesi zaidi kama ingekuwa na proper supply chains,maana wangezuia kabla ya kumfikia mnunuzi.

  kwa wale wanaosema serikali inakumbatia wachina kwa sababu ya nafasi za masomo...,DUH this is so LOW..,CCM na uozo wake haijafikia huko.hizo nafasi zipo miaka nenda RUDI kabla hata mchina hajaja kuuza karanga kariakoo.

  kwa wale amabo hawajafika CHINA.jamani kule kila kitu kipo.haya matakataka tunayafata wenyewe.siku TZ ikiwa na Watu billioni moja then utaelewa ugumu wa ku-control what is made in people's Yard.

  pia chinese gov has an exterior motive kwenye hili.hawawezi kuzuia watu wao kutengeeza below quality merchandises,kwani zina huge market,over 400Million chinese are relatively poor.hawana makuu watu wale.1 dollar a day can do wonders.bidhaa zinazolast miezi mi-3 are mostly season products that poor people use to keep up with trend.sisi watanzania tunataka vikae miaka 10!

  do we remember the good old jiko la mchina?phoenix?spoku za china vs India?!vyerehani vya china?those guys knows how to make good products as well,TATIZO we have forgotten how to get them.

  blame it on utandawazi,since that is what happened when un-educated fela is handed 100Million and gets a ticket to go to china to purchase mobile phones.THESE stu^%&^d biz-people are buying them off market stalls!who does that!who buys 2000 handset in a market?!a local market?what do you expect?hata ukienda kariakoo ukinunua kitu tegemea kubambikwa,sembuse in a downtown chinese local market?


  kwa wale wanao-compare tatizo hili na US wako wrong,US are way better,their institutions are better.no electroinc is sold in a walmart without FCC approval.TANZANIA none of that shit.

  wanaonunua fakes US ni wale wanaozitafuta.i.e kwa kwenda kwenye gray markets or gray online sites.apparently wapenda vya dezo hawako TZ tu.

  huku TZ wanaonunua fake wanalazimika kununua as they have no alternative.

  kwani sasa hivi kununua simu posta doesn't guarrantee that it is not fake anymore.shoprite,Game ndio walewale wanaleta expired,refurbished merchandise.watanzania wakanunue wapi?

  tunahitaji Elimu na strong institutions,sio TBS,TRA,THA ya sasa we need better.
   
  Last edited: Sep 3, 2009
 19. Aiseam

  Aiseam Member

  #19
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  China should know better,is a permanent member of security council, but what china doing in africa is too harsh for the long run,look the roles is playing in darful -sudan,as well as Zimbabwe and many other african countries, onwhich their leaders torture people under the cover up of china,s "veto ".is acting like little colony practise.
   
 20. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kimweri,

  Kula 5.......You said it all man! Very good analysis!
   
Loading...