China Ready to Write off East Africa Community Debts in Exchange with Lake Victoria

Habari wadau
Kuna tetesi kuwa kulingana na madeni ambayo nchi za Afrika mashariki zimekopa china na deni hilo linaonekana halitaweza kulipika China inadai kulimiliki ziwa victoria kwa miaka zaidi ya 200 kufidia deni lake. Je tetesi hizi zina ukweli wowote? Mbona tutashikwa pabaya? Kumbuka China imeshaanza kuzimeza nchi za Afrika ki aina sasa

Chanzo: Clouds Fm( 06:10 am) 28 Nov 2018
 
Sasa wewe Si ndio umesikia hayo kutoka kwenye hicho chanzo? Wewe ndiye utueleze badala ya kutuuliza ambao hatujui wala kusikia
 
Briefly imeelezwa kama nivyoeleza kama hauko deep .mute
You don't think hata wewe you should have also muted the moment umesikia hiyo habari kijujuu ili kujiridhisha kama iko kama ulivyo isikia... As kama vile imekaa kiumbea mbea hivi?
 
That why iko in question form ili wenye taarifa zaidi waelezee wasio na taarifa kama wewe
 
Habari wadau
Kuna tetesi kuwa kulingana na madeni ambayo nchi za Afrika mashariki zimekopa china na deni hilo linaonekana halitaweza kulipika China inadai kulimiliki ziwa victoria kwa miaka zaidi ya 200 kufidia deni a . Je tetesi hizi zina ukweli wowote? Mbona tutashikwa pabaya? Kumbuka China imeshaanza kuzimeza nchi za Afrika ki aina sasa

Chanzo: Clouds Fm( 06:10 am) 28 Nov 2018

Hapa Sio Mahali Pa ngoma za vigodoro. So we news Sio maktaba Ila huo Umbeya wako
 
Mmeamini Rahisi wenu ana akili kama za Makonda?

Jana tu kasema china mikopo yao ni nafuu.
Muacheni aingie kichwa kichwa.

Hio chato yote tutawauzia wachina shenzi.

Hakuna mtu mbaya kama mchina. Awaulize zambia . Shirika la umeme kishachukuliwa
 
Chinese government is ready to write off huge debts for the East Africa Community in exchange with Lake Victoria for a period not exceeding 231 years. President Xi Jinping has urged African states to continue partnering with China in looking for moral and financial support and ignore the West.

Chinese authorities have pointed pointed out Lake Victoria to be of strategic importance to China.The East Africa community is made of Burundi, Kenya,Rwanda,South Sudan, Tanzania and Uganda.

Kenya owes China huge amounts of money that have to be paid for a period of 81 years.African states have been on the rampage of borrowing heavily from China.Burundi President has been criticised for borrowing ten billion dollars from China to build a a family zoo.Paul Kagame of Rwanda has also been accused of mismanaging billions of funds borrowed from China.

China Ready to Write off East Africa Community Debts in Exchange with Lake Victoria - The African Daily
Hivi unaelewa unacho kiandika?? 10 billions dollars unajua ni kiasi gani trioni 23 za kitanzania, eti familia ya rais kujenga zoo mshenzi kweli wewe hiyo zoo ni kubwa kiasi gani??

Muwe mnafikiria kabla ya kubumba huo upuuzi.
 
Nimecheka Sana...japo kwenye hiyo habari kuna exgeration mfn. $10bil. Kujenga zoo, still kwa nchi zetu hizi, It is not impossible
Watu wanakopa bilions kujenga white elephant projects......
Mfano hela za mifuko ya jamii zilivotapanywa na kuporwa Kwa wafanyakazi Hadi kutungiwa sheria mpya..
Ziwa Victoria kitu gani bhana kama watu wanaspend bilions za wafanyakazi kujenga mapagala
Kuna maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu....Sisi tupo kwenye Hilo la Kwanza....
Hivi zoo ya trions 20 za kitanzania habari nyingine zimezidi kutiwa chumvi..! Hamna kitu cha hivyo..
 
Habari za kufurahisha nafsi za ufipa, Imetajwa East Africa in general, wewe unamtaja magufuli ili ionekane tayari kakubali au siyo? jinga sana

That shit will never happen in Jpm's regime.
Safi sana tupo kwenye laiti tiraki
 
Chinese government is ready to write off huge debts for the East Africa Community in exchange with Lake Victoria for a period not exceeding 231 years. President Xi Jinping has urged African states to continue partnering with China in looking for moral and financial support and ignore the West.

Chinese authorities have pointed pointed out Lake Victoria to be of strategic importance to China.The East Africa community is made of Burundi, Kenya,Rwanda,South Sudan, Tanzania and Uganda.

Kenya owes China huge amounts of money that have to be paid for a period of 81 years.African states have been on the rampage of borrowing heavily from China.Burundi President has been criticised for borrowing ten billion dollars from China to build a a family zoo.Paul Kagame of Rwanda has also been accused of mismanaging billions of funds borrowed from China.

China Ready to Write off East Africa Community Debts in Exchange with Lake Victoria - The African Daily

Acha kusambaza propaganda za kipuuzi.
 
Ni kweli.

Na wachina watajenga Gorofa na Hoteli kati kati ya ziwa.

Il kiufupi pesa yote ilikopwa na viongozi utakuta 70% walikula viongozi.

Ndio maana wakali sana hawataki kutoka madarakani
Inawezekana madeni mengi wanayobebeshwa raia wa hili bara viongozi ndio walio neemeka na hiyo mikopo kupitia ufisadi, rushwa au kuwekeza kupitia miradi isiyo na tija kwa nchi husika.
 
Chinese government is ready to write off huge debts for the East Africa Community in exchange with Lake Victoria for a period not exceeding 231 years. President Xi Jinping has urged African states to continue partnering with China in looking for moral and financial support and ignore the West.

Chinese authorities have pointed pointed out Lake Victoria to be of strategic importance to China.The East Africa community is made of Burundi, Kenya,Rwanda,South Sudan, Tanzania and Uganda.

Kenya owes China huge amounts of money that have to be paid for a period of 81 years.African states have been on the rampage of borrowing heavily from China.Burundi President has been criticised for borrowing ten billion dollars from China to build a a family zoo.Paul Kagame of Rwanda has also been accused of mismanaging billions of funds borrowed from China.

China Ready to Write off East Africa Community Debts in Exchange with Lake Victoria - The African Daily
mtatunga kila aina ya uwongo dhidi ya china.But chinese are here to stay
 
Wale wakenya na wanyarwanda wa humu wako wapi? Sikai kuamini kwamba hivi karibuni Kisumu inakwenda kubadilishwa jina. Kenyataaaaaaa mjanja wa biashara
 
Back
Top Bottom