China na Urusi imechukua miaka 10 vipi Tanzania?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
China na Urusi wameta sahihi mkataba wa makubaliano ya kuuziana Gesi na mafuta ya mabilioni ya dola za kimarekani.
Kwa hilo nawapongeza sana.

Kilichonipa maswali mengi ni mazungumzo yao ya kuuziana rasilimali hii muhimu kichukua miaka kumi mpaka kufikia makubaliano.

Swali ni je? Vip Tanzania inachukua muda gani?
 
Tanzania na China ilichukuwa masaa tu tena China ndiyo iliyokuwa ikisimamia show!!!
 
Tanzania ni shamba la bibi milele itabaki hivyo hutaki mkataye mduu ccm
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom