China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania.

Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi, sisi hatutaki kugharamikia vitu hivyo,hatutaki kugharamikia maendeleo.

Hii naifananisha na mtoto, hakuna mtoto anayeanza shule anakubali kirahisi kuamka asubuhi, atalia sana, ila akishapata digrii na kupata mapesa, atakumbuka wema was mzazi, serikali ni mzazi,anafanya jambo jema, kamwe asiache kumpa lililo jema mwanae kisa analia sana.

Unaacha kumlisha mtoto chakula kisa analia? Unataka familia yako wale kuku na biriani wafurahi na ukisema uwajengee nyumba wanalia na wewe unawasikiliza?

Tugharamie maendeleo na tujivunie, unajivuna unaporudi kijijini unakuta kituo cha afya, tena kina umeme na dawa na daktari, unaenda kijijini kwa barabara safi, maji yanapatikana, madarasa safi yana umeme, maabara zipo.

Tunaenda China, Marekani na Ulaya tunamwaga sifa kuwa zimeendelea, hao wamepita njia hii hii tena kwa uzalendo mkubwa na jasho.

Leo ndio tunakopa fedha huko, hao wamejitoa sadaka!

Napendekeza nchi yetu isikubali tabia ya kulialia, tuchukue au tuige mfumo wa China na urusi kiasi kuhusu demokrasia, demokrasia isiwe ukuta was kuzuia maendeleo. Linapokuja suala la maendeleo mengine ya wanasiasa yawekwe pembeni, kinataka kujengwa kituo cha afya mwanasiasa anapinga kisa demokrasia!

Nchi inataka shule watu waelimike waendane na dunia,mwanasiasa anapinga.

Nchi inataka reli mizigo isafiri kwa haraka ipatikane fedha ya maendeleo,mwanasiasa anapinga!

Yote huyapati bila kodi na tozo.

Kwa kuzaliwa Mtanzania tayari una jukumu na wajibu kushiriki katika maendeleo, unataka nani akuletee maendeleo? Unataka mzungu wa London akatwe kodi ili barabara ya kwenda kwenu ijengwe? Halafu wewe ambae huko ni kwenu hutaki kutoa tozo ili ujengewe barabara ya kwenda kwenu!

Wakina mama wamezaa watoto, nchi inahitaji watu wenye afya na elimu, tena wengine ni watoto wako na wa ndugu zako, unaambiwa changia watoto wapate huduma bora za afya na elimu,hutaki, unasubiri Bill Gates aje asomeshe na kutibu watoto wako!

China na Urusi wameweza, system iibadili nchi ifate mfumo huo, viongozi wenye nia njema wasikwamishwe na vikelele, China hawakubali ujinga huu hata Urusi na nchi zinasonga mbele!

Kwa pamoja tulikuwa tunaimba ubeberu mbaya, njia ya kuukwepa ni nchi kujitegemea, halafu hutaki kulipa kodi na tozo! Unasema deni la taifa linaongezeka, haya, hatukopi, lipa kodi, hutaki!

Samoa usisikilize kelele za wasiopenda maendeleo, hakuna aliyeleta maendeleo aliyefata kelele za aina hiyo.

Kuna watu watasema katiba mpya, hivi tukishatunga katiba mpya ndio kila mtu atawekewa fedha mfukoni, barabara zitajijenga, hospitali zitajijenga, tutalala nyumbani na fedha zitajileta zenyewe!
Mimi napingana na wewe kwa sababu ,
huwezi kumlimbikizia masikini utitili wa kodi wakati kipato chake ni kidogo,
Mzunguko wa bado in mdogo mno,na watu wengi hawana pesa mfukoni, na hii ni sawa na kumkamua ng'ombe aliyekonda maziwa wakati humlishi vizuri
 
Mbaya zaidi ubadhirufu utaofanya na fweza za ubadhirifu huo ndio zitatumika kutukandamiza wanyonywaji vizuri siku sii nyingi.
Tuna mbuga za wanyama madini kibao.. gesi makaa ya mawe bandari.. hela zake zinaenda wapi!!!!
 
Mimi napingana na wewe kwa sababu ,
huwezi kumlimbikizia masikini utitili wa kodi wakati kipato chake ni kidogo,
Mzunguko wa bado in mdogo mno,na watu wengi hawana pesa mfukoni, na hii ni sawa na kumkamua ng'ombe aliyekonda maziwa wakati humlishi vizuri
Tunahitaji maendeleo sasa,
 
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania.

Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi, sisi hatutaki kugharamikia vitu hivyo,hatutaki kugharamikia maendeleo.

Hii naifananisha na mtoto, hakuna mtoto anayeanza shule anakubali kirahisi kuamka asubuhi, atalia sana, ila akishapata digrii na kupata mapesa, atakumbuka wema was mzazi, serikali ni mzazi,anafanya jambo jema, kamwe asiache kumpa lililo jema mwanae kisa analia sana.

Unaacha kumlisha mtoto chakula kisa analia? Unataka familia yako wale kuku na biriani wafurahi na ukisema uwajengee nyumba wanalia na wewe unawasikiliza?

Tugharamie maendeleo na tujivunie, unajivuna unaporudi kijijini unakuta kituo cha afya, tena kina umeme na dawa na daktari, unaenda kijijini kwa barabara safi, maji yanapatikana, madarasa safi yana umeme, maabara zipo.

Tunaenda China, Marekani na Ulaya tunamwaga sifa kuwa zimeendelea, hao wamepita njia hii hii tena kwa uzalendo mkubwa na jasho.

Leo ndio tunakopa fedha huko, hao wamejitoa sadaka!

Napendekeza nchi yetu isikubali tabia ya kulialia, tuchukue au tuige mfumo wa China na urusi kiasi kuhusu demokrasia, demokrasia isiwe ukuta was kuzuia maendeleo. Linapokuja suala la maendeleo mengine ya wanasiasa yawekwe pembeni, kinataka kujengwa kituo cha afya mwanasiasa anapinga kisa demokrasia!

Nchi inataka shule watu waelimike waendane na dunia,mwanasiasa anapinga.

Nchi inataka reli mizigo isafiri kwa haraka ipatikane fedha ya maendeleo,mwanasiasa anapinga!

Yote huyapati bila kodi na tozo.

Kwa kuzaliwa Mtanzania tayari una jukumu na wajibu kushiriki katika maendeleo, unataka nani akuletee maendeleo? Unataka mzungu wa London akatwe kodi ili barabara ya kwenda kwenu ijengwe? Halafu wewe ambae huko ni kwenu hutaki kutoa tozo ili ujengewe barabara ya kwenda kwenu!

Wakina mama wamezaa watoto, nchi inahitaji watu wenye afya na elimu, tena wengine ni watoto wako na wa ndugu zako, unaambiwa changia watoto wapate huduma bora za afya na elimu,hutaki, unasubiri Bill Gates aje asomeshe na kutibu watoto wako!

China na Urusi wameweza, system iibadili nchi ifate mfumo huo, viongozi wenye nia njema wasikwamishwe na vikelele, China hawakubali ujinga huu hata Urusi na nchi zinasonga mbele!

Kwa pamoja tulikuwa tunaimba ubeberu mbaya, njia ya kuukwepa ni nchi kujitegemea, halafu hutaki kulipa kodi na tozo! Unasema deni la taifa linaongezeka, haya, hatukopi, lipa kodi, hutaki!

Samoa usisikilize kelele za wasiopenda maendeleo, hakuna aliyeleta maendeleo aliyefata kelele za aina hiyo.

Kuna watu watasema katiba mpya, hivi tukishatunga katiba mpya ndio kila mtu atawekewa fedha mfukoni, barabara zitajijenga, hospitali zitajijenga, tutalala nyumbani na fedha zitajileta zenyewe!
Tatizo hizo fedha zinatumiwa kwa mambo ya hovyo kama:
utekaji, ubambikaji kesi, wizi, nk
 
Naomba kuelewa..., Hivi kabla ya hizi tozo za miamala (ambazo serikali inachukua mapato zaidi hata ya mwekezaji mwenyewe) kulikuwa hakuna kodi au watu walikuwa hawalipi kodi ?

Kumbuka kinachofanyika sasa ni kuhatarisha uhai wa hata hizo Biashara..., hata ng'ombe unamlisha kwanza ashibe kabla ya kumkamua maziwa...

Asante mleta mada kwa mada yako ya kusisimua juu ya maendeleo ya nchi ama bara.

Kwa kuwa hoja yako imeshiba haswa, naomba sasa usiadie kuishushia maji ili iburudike kwa shibe halisi. Yaani, mleta mada ninaomba takwimu za kukopa na kutozana kodi za nchi za Marekani, China , na bara Ulaya wakati huo zilipokuwa zinapambana kujiletea maendeleo unayosema twashangaa tuendapo kwenye nchi hizo na bara hilo.

Pia Usisahau kukokota na kuwasilisha takwimu za mchango uliotoka Afrika kwa dhuruma wakati nchi hizo zikipiga hatua. Mchango huo ni pamoja na nguvu kazi na rasilimali asilia zilizotumika kujenga nchi hizo na bara hilo!

Naweka kigoda kusubiri majibu yenye takwimu huku nikitarajia hutanipa jibu jepesi la nenda kagoogle!
Akijibu niambie
 
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania.

Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi, sisi hatutaki kugharamikia vitu hivyo,hatutaki kugharamikia maendeleo.

Hii naifananisha na mtoto, hakuna mtoto anayeanza shule anakubali kirahisi kuamka asubuhi, atalia sana, ila akishapata digrii na kupata mapesa, atakumbuka wema was mzazi, serikali ni mzazi,anafanya jambo jema, kamwe asiache kumpa lililo jema mwanae kisa analia sana.

Unaacha kumlisha mtoto chakula kisa analia? Unataka familia yako wale kuku na biriani wafurahi na ukisema uwajengee nyumba wanalia na wewe unawasikiliza?

Tugharamie maendeleo na tujivunie, unajivuna unaporudi kijijini unakuta kituo cha afya, tena kina umeme na dawa na daktari, unaenda kijijini kwa barabara safi, maji yanapatikana, madarasa safi yana umeme, maabara zipo.

Tunaenda China, Marekani na Ulaya tunamwaga sifa kuwa zimeendelea, hao wamepita njia hii hii tena kwa uzalendo mkubwa na jasho.

Leo ndio tunakopa fedha huko, hao wamejitoa sadaka!

Napendekeza nchi yetu isikubali tabia ya kulialia, tuchukue au tuige mfumo wa China na urusi kiasi kuhusu demokrasia, demokrasia isiwe ukuta was kuzuia maendeleo. Linapokuja suala la maendeleo mengine ya wanasiasa yawekwe pembeni, kinataka kujengwa kituo cha afya mwanasiasa anapinga kisa demokrasia!

Nchi inataka shule watu waelimike waendane na dunia,mwanasiasa anapinga.

Nchi inataka reli mizigo isafiri kwa haraka ipatikane fedha ya maendeleo,mwanasiasa anapinga!

Yote huyapati bila kodi na tozo.

Kwa kuzaliwa Mtanzania tayari una jukumu na wajibu kushiriki katika maendeleo, unataka nani akuletee maendeleo? Unataka mzungu wa London akatwe kodi ili barabara ya kwenda kwenu ijengwe? Halafu wewe ambae huko ni kwenu hutaki kutoa tozo ili ujengewe barabara ya kwenda kwenu!

Wakina mama wamezaa watoto, nchi inahitaji watu wenye afya na elimu, tena wengine ni watoto wako na wa ndugu zako, unaambiwa changia watoto wapate huduma bora za afya na elimu,hutaki, unasubiri Bill Gates aje asomeshe na kutibu watoto wako!

China na Urusi wameweza, system iibadili nchi ifate mfumo huo, viongozi wenye nia njema wasikwamishwe na vikelele, China hawakubali ujinga huu hata Urusi na nchi zinasonga mbele!

Kwa pamoja tulikuwa tunaimba ubeberu mbaya, njia ya kuukwepa ni nchi kujitegemea, halafu hutaki kulipa kodi na tozo! Unasema deni la taifa linaongezeka, haya, hatukopi, lipa kodi, hutaki!

Samoa usisikilize kelele za wasiopenda maendeleo, hakuna aliyeleta maendeleo aliyefata kelele za aina hiyo.

Kuna watu watasema katiba mpya, hivi tukishatunga katiba mpya ndio kila mtu atawekewa fedha mfukoni, barabara zitajijenga, hospitali zitajijenga, tutalala nyumbani na fedha zitajileta zenyewe!
Kwa hiyo leo mnajifananisha na mashoga?
 
Suala la maendeleo hakichagui na lina manufaa kwa wote, halina mjadala,kujenga shule mtoto was kitanzania asome unataka siasa? Mama mjamzito yuko hoi kitandani unampa siasa atakuelewa?
Kwa hiyo ni shule na sio daraja la jangwani tena?
 
Kwa nyongeza tu, mwenye kutaka kuthibitisha hayo aangalie Documantary ya George Washington na Kodi za mvinyo (wine). Kuliaka moto lakini leo ndio imewapa kujulikana na kutoa misaada kwa wengine.

Usikose, tafadhali itafute na iangalie.
 
Asante ndugu
 
Hakuna ubaya wowote kuchangia maendeleo lakini sio maendeleo ya Majengo makubwa makubwa mfano kwann hauimarishi vituo vya Utafiti ili vituibulie mambo mapya tuyatumie kujenga uchumi...

Tunazuiaje Wizi wa hiyo michango kwa mfano....

Tunachofanya kinaendana na Mpango wa Taifa wa Maendeleo 2025???

Kwa Hiyo kuna mambo meengi ya Kufanya kwa kukusanya mawazo na kuyafanyia kazi..Tatizo letu anaewaza na kuamua ni mtu mmoja au kikundi flani ukionekana unaenda Tofauti basi utahojiwa weee..Lakini wanasahau zama huja na kubadilika anaehoji leo kesho atahojiwa mfano ni Pole pole.
 
Hao uliowataja walikamuana na hela ilifanya kazi iliyokusudiwa.

Kwetu hapa subiri taarifa ya CAG mwakani ubadhirifu wa kufa mtu na hakuna anawajibika.

Kwenye miamala ya simu, mafuta na umeme kuna VAT sasa tozo za nini wakati tunalipa kodi.
Kwa kweli kama ubadhirifu hautakuwepo Tozo itakuwa ni sahihi lakini kama Ubadhirifu utakuwepo basi hizi Tozo zitakuwa ni uonevu tu,
 
Huwezi kupata maendeleo ya nchi kwa kuwakamua wananchi wako kupitia tozo - sahau.

Marekani na hata hao wachina hawajafika hapo walipo kwa kutumia tozo.
 
Back
Top Bottom