China kuzuia matumizi ya fedha za noti ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa Virusi hatari vya Ccorona

Mmmh hebu Fanya tena utafiti wako au chanzo chako cha hiyo taarifa, China ndo mzarishaji mkubwa wa mask duniani sababu anaitumia kwa matumizi mengi sana. Mchina wala mask kwake sio shida hadi amtegemee Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda DHL Tanzania uliza shipping wanazotuma Wachina kila siku kuelekea China kwao. Wewe ndio ukatafute news kujiridhisha ubishi wako asili.. unapewa news kisha unapinga and then unataka mleta taarifa ajiridhishe na taarifa zake mwehu kweli.
 
Back
Top Bottom