China kuzindua mwezi wa bandia kumulika mitaani usiku

Mbona kuna tetesi kwamba hata huu mwezi tunaoutumia sasa hivi nao ni wa bandia vile vile..?
 
Sawa ila vipi watu ambao wanapenda giza? hawaoni watalkua wamewanyima haki zao?
Bado mimea duu that is not good bora natural environment iwepo tuu au uwe unawashwa na kuzimwa pindi unapohitajika coz kila kitu kinaumuhimu wake.
Mimi siwezi lala bila usiku kuingia kwa hiyo sitalala tena maisha yangu au?
Mkuu kwani nawe unakaa kwenye huo mji we upo nanjilinji utapata Giza tu
 
Back
Top Bottom