CHINA kutoa Dola bilioni 20 kwa Africa: Pigo kwa US na ULAYA?

Sisi ni Afadhali ya Mwanamke Malaya, Baada ya kutumiwa na kudhoofishwa na Mabwana wetu (US & EUROPE) sasa tunampapatikia bwana mwingine (CHINA) tena kwa vicheko tunamnanga mabwana wa zamani OR no, bado hatujawaacha, wote bado wanatutumia. cursed Africa.
 
Marekani na Ulaya wamechukizwa sana na China kusaidia Afrika, Italy nayo imekopeshwa na China pamoja na Marekani.
 
Back
Top Bottom