Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Kampuni moja huko Marekani inakusudia kuishitaki Mahakamani Serikali ya China kutokana na mismanagement ya ugonjwa wa Corona katika siku za awali kitendo kilichopelekea ugonjwa huo kusambaa duniani na kuleta hasara kubwa za kiuchumi.
Kampuni hiyo inasema Serikali ya China ilijua tatizo toka mapema lakini ikaficha na matokeo yake ugonjwa ukasambaa Duniani na kuleta athari kubwa za kiuchumi.
Kampuni hiyo imesema kampuni nyingi zinataka kujiunga kwenye hiyo kesi na kuonya kuwa iwapo China haitoleta ushirikiano basi wataomba Mahakamani asset zake kama vile meli zao za mizigo zikamatwe.
Wakati huo huo watafiti walioandika chapisho lao la kisayansi kuhusu ugonjwa wa Korona wanasema zaidi ya asilimia 80%ya waliothirika na virusi vya Korona katika miezi ya awali ya ugonjwa huo hawakuripotiwa.
Maelezo kamili, cheki hii video