China kuchukua bandari ya Mombasa kufidia Deni lao kwa Serikali ya Kenya

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
25,360
38,869
Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
20210922_201803.jpg
20210922_201736.jpg
 
Chinese lenders, especially Exim Bank, were uncomfortable with Kenya’s push for extension of the debt service suspension with rich nations, prompting delays in disbursements to projects funded by Chinese financiers.

This forced Nairobi to drop its push for the debt repayment holiday extension by China for fear of straining relations with Kenya’s biggest bilateral creditor.
 
Watchina sio Taifa la kubeza kwani ni wababe haswa na wakiamua hakuna wa kuwafanya kitu
Hawakukurupuka na tatizo ni viongozi waroho wanaoingizwa mkenge kwa tamaa zao

China anahodhi mpaka sehemu kubwa ya bahari huko kwao na wanamuogopa haswa majirani zake
Sisi tunakaa kumsema eti vitu fake wakati sisi ndio tunaishi maisha fake

Africa itabebwa na China kama tusipoangalia
 
Waangalie sana bagamoyo
 
Chinese lenders, especially Exim Bank, were uncomfortable with Kenya’s push for extension of the debt service suspension with rich nations, prompting delays in disbursements to projects funded by Chinese financiers.

This forced Nairobi to drop its push for the debt repayment holiday extension by China for fear of straining relations with Kenya’s biggest bilateral creditor.
Dj walete "praise team" ya uhuru
 
Jambu ndugu zangu

Mimi Kuna jambo ambalo linanipa maswali mengi lakini majibu Sina

nataka kuhuliza

Ivi Kweli tunavyo muomba Mungu ndivyo Kweli Mungu uhombwa? au yaani kufika chumbani kwako unakuja magoti na kuanza kuomba Mungu au kufika kanisani na kuanza kuomba Mimi naona Kuna tatizo

Nina rafiki yangu mmoja ivi kwao dasca
 
Mhhh

Unahisi tunatakiwa kuomba kwa style gani?.

Style iliyopo ni kutokana na Biblia/Quran
 
Jambu ndugu zangu

Mimi Kuna jambo ambalo linanipa maswali mengi lakini majibu Sina

nataka kuhuliza

Ivi Kweli tunavyo muomba Mungu ndivyo Kweli Mungu uhombwa? au yaani kufika chumbani kwako unakuja magoti na kuanza kuomba Mungu au kufika kanisani na kuanza kuomba Mimi naona Kuna tatizo

Nina rafiki yangu mmoja ivi kwao dasca
Anzisha uzi wako uulize hili swali, hapa watu wanajadili siasa na uchumi
 
Kwa wale mnaowasifia hawa watu ni marafiki zetu. Haya sasa!!! Watu wabaya sana hawa nachukia sana kuwaona wakizidi kuongezeka katika nchi mbali mbali za Kiafrika. MK254

Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
View attachment 1948738View attachment 1948739
 
Back
Top Bottom