China kuchukua bandari ya Mombasa kufidia Deni lao kwa Serikali ya Kenya

Hizo fedha kwa kiasi kikubwa viongozi wameipiga wenyewe ww ukiambiwa ufisadi Kenya unadhani pesa wanatoa wapi!!?
Ngozi nyeusi tuna matatizo sana,yaani kwa maendeleo yetu jitu linakula rushwa ili lipaye yeye huku wengine wakiteseka kwa mikataba mibovu
 
Kumbe source ni Opera news
Opera news sio source ni platform yenye inatumika ku disseminate news kutoka sources tofauti., so u may know maana ya source, umeelewa?,., Nikama tu radio station, they are not the source of any news, they only disseminate..,
Next time ukisoma news from any platform, ata from Facebook, google it uone ni platforms ngapi zinebeba taarifa ile., net merely dismissing na haujafanya utafiti, ila nawaelewa, uzembe ume wajaa.,
 
hebhana!!! wanakuja kuchukua kilicho chao. hofu imeanza kuniingia mwilini. soon tutakuwa matekwa ndani ya nchi yetu. mtuombee majirani ili tuweze kuvuka salama
Tuliwaambia hawa wachina watakuja kuifanya kitu mbaya sana africa ushindani wao na USA tutaumia sisi africa maana watasomba kila resource zetu
 
Back
Top Bottom