China kuchukua bandari ya Mombasa kufidia Deni lao kwa Serikali ya Kenya

Jambu ndugu zangu

Mimi Kuna jambo ambalo linanipa maswali mengi lakini majibu Sina

nataka kuhuliza

Ivi Kweli tunavyo muomba Mungu ndivyo Kweli Mungu uhombwa? au yaani kufika chumbani kwako unakuja magoti na kuanza kuomba Mungu au kufika kanisani na kuanza kuomba Mimi naona Kuna tatizo

Nina rafiki yangu mmoja ivi kwao dasca
Kuna shida hapa
 
Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
View attachment 1948738View attachment 1948739

Tanzanian ruthless, selfish, careless, and pro-China leaders, do you still want to continue to offering the strategic portions, rich land, and Indian coastline to the Chinese in exchange for your interests; lack of understanding; egocentrism, reciprocation for your family favors?

Do you know that ignorance of the poor pro-ccm whom you systemically brainwashed that they must unconditionally clap hands for everything you do or say to justify the image of majority support, regardless of how awful the agenda you might be maliciously pushing, shall for life rest on your conscious?

Are your relationships and egocentrism much more valuable than the life of Tanzanians and their descendants?

If you arrogantly keep on ignoring the Chinese Global Agenda, even with this living testimony in front of your corneas, God Shall judge you in favor of the innocent Tanzanians whose destinies you are playing with.

There is God on His throne Who reigns in Majesty.
 
Jambu ndugu zangu

Mimi Kuna jambo ambalo linanipa maswali mengi lakini majibu Sina

nataka kuhuliza

Ivi Kweli tunavyo muomba Mungu ndivyo Kweli Mungu uhombwa? au yaani kufika chumbani kwako unakuja magoti na kuanza kuomba Mungu au kufika kanisani na kuanza kuomba Mimi naona Kuna tatizo

Nina rafiki yangu mmoja ivi kwao dasca
😇WAKUU MNAONA KAMA MIMI AU TUMUACHE TU NA MAPENGO YAKE..
🙃
 
Jambu ndugu zangu

Mimi Kuna jambo ambalo linanipa maswali mengi lakini majibu Sina

nataka kuhuliza

Ivi Kweli tunavyo muomba Mungu ndivyo Kweli Mungu uhombwa? au yaani kufika chumbani kwako unakuja magoti na kuanza kuomba Mungu au kufika kanisani na kuanza kuomba Mimi naona Kuna tatizo

Nina rafiki yangu mmoja ivi kwao dasca
Acha kuvuta bangi kijana ona madhara yake sasa.
 
Jibu swali train yenu inatumia diesel au umeme? Mbona swali rahisi sana unaruka ruka mzee

Endelea kujitutumua kidogo utausogeza uzi, wenzako walianza na kiherehere kama chako na wameshahema, nyie mpaka sasa mnajua nini maana ya SGR.
 
Maana yake ni kulipa deni la China.

Deni linalipwa na limekua likilipwa na tunaendelea kuteleza kwa SGR, yaani kadiri tunavyolipa ndivyo tunazidi kumiliki bonge la reli, kilomita karibia 600km zote za kwetu yaani tu hadi raha, halafu biashara ya usafiri wake inazidi kunoga, matumizi yanaongezeka.
Haya yote hauwezi ukayaelewa maana kwenu huko hakuna SGR, mumekua mkiimbishwa hadithi za alfu ulela kwa miaka kadhaa huku Mturuki akichimba mahandaki na kujizolea mahela......hehehe.

Uzi sasa upo kwenye ukurasa wa tano, usogezeni au ndio mumeishiwa bando.
 
Hamjawahi lipa deni SGR. Ilipoisha grace period tu, serikali ikaanza kuomba extension ya kuanza kulipa instalments.
 
Hehehe nawacheka sana mnavyohangaika kusubiri tushindwe, mumefungua nyuzi humu za Mchina kuchukua bandari tangu 2018....hehehe hadi raha.
Sisi tunateleza kwa SGR na sasa imeungwa hadi mjini kati, kwenu huko Mturuki bado anachimba mahandaki, hata kasafu ka Dar-Moro mlikua muanze kutumia miaka kadhaa imepita bado ni stori.
Nyie huko ndio tumezoea vituko vya mindege yenu kukamatwa kisa mumeshindwa kulipa hela ya watu...
mkulima alipwe!!!😂😂😂
 
Back
Top Bottom