Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,811
- 6,780
Mkuu, KateMiddletonMhhh
Unahisi tunatakiwa kuomba kwa style gani?.
Style iliyopo ni kutokana na Biblia/Quran
Samahani, Jibu likija usisahau kuni-tag
Mkuu, KateMiddletonMhhh
Unahisi tunatakiwa kuomba kwa style gani?.
Style iliyopo ni kutokana na Biblia/Quran
Waangalie sana bagamoyo
Makahaba watatuharibia hii nchi,wakiona fedha tu za mfadhili au mwekezaji basi wanatia sahini tuYa bagamoyo itakuja kutuletea shida hizi hizi, mzalendo nambari moja aliikataa sasa sijui kama tutasikilizwa kwa sasa, maana naona saiv tumeachwa tuongee kama makopo matupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwaambia na sasa shabaa ya mchina imeanza kuonekana mchina ana ajenda kuu ya siri kuhusu bandari za africa na mashirika ya umeme pamoja na sekta ya uchukuzi na usafirishaji ,tatizo lenu wakenya hamtaki kuamini kuwa mchina ana tamani hiyo bandari yenu iwe yakeHizi hapa nyuzi huwa mnafungua kuhusu bandari yetu kuchukuliwa na Wachina, mlianza kuandika 2018, mkaandika 2019 sasa naona mumekurupuka tena mwaka huu, ila SGR yetu inapiga hela na deni tunaendelea kupunguza....
Bandari ya Mombasa kuchukuliwa na China? Mtego wa mchina umenasa
Kama ilivyo kwa Zambia kukubali kuachia uwanja wake mkubwa wa taifa kwa kushindwa kulipa deni, Kenya pia inaweza kuingia mtego huu kwa kushindwa kulipa deni lake na haki-mufilisi inaangalia bandari kubwa ya Mombasa kuwa chini ya China Has Kenya too fallen for China's debt trap?www.jamiiforums.com
Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)
Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013. ========== Chinese may take over Mombasa port: Ouko The Daily Nation SUMMARY The...www.jamiiforums.com
kwanin mkuu?Jambu ndugu zangu
Mimi Kuna jambo ambalo linanipa maswali mengi lakini majibu Sina
nataka kuhuliza
Ivi Kweli tunavyo muomba Mungu ndivyo Kweli Mungu uhombwa? au yaani kufika chumbani kwako unakuja magoti na kuanza kuomba Mungu au kufika kanisani na kuanza kuomba Mimi naona Kuna tatizo
Nina rafiki yangu mmoja ivi kwao dasca
Mkuu,jibu hoja, hilo gazeti hayo maneno tumeyaandika sisi?Hizi hapa nyuzi huwa mnafungua kuhusu bandari yetu kuchukuliwa na Wachina, mlianza kuandika 2018, mkaandika 2019 sasa naona mumekurupuka tena mwaka huu, ila SGR yetu inapiga hela na deni tunaendelea kupunguza....
Bandari ya Mombasa kuchukuliwa na China? Mtego wa mchina umenasa
Kama ilivyo kwa Zambia kukubali kuachia uwanja wake mkubwa wa taifa kwa kushindwa kulipa deni, Kenya pia inaweza kuingia mtego huu kwa kushindwa kulipa deni lake na haki-mufilisi inaangalia bandari kubwa ya Mombasa kuwa chini ya China Has Kenya too fallen for China's debt trap?www.jamiiforums.com
Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)
Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013. ========== Chinese may take over Mombasa port: Ouko The Daily Nation SUMMARY The...www.jamiiforums.com
Mkuu,jibu hoja, hilo gazeti hayo maneno tumeyaandika sisi?
Acha viroja na hasira,jibu hoja mbona kama unapanic broo?
Unafikiri mwerevu kama mimi naweza kufurahia mali ya mwafrika imilikiwe na asiye mwafrika kimabavu kama wanavyotaka kufanya hao wachina?
Ukiangalia ni kama ulikuwa uzi wakaunganisha... angalia vizuri tuAnzisha uzi wako uulize hili swali, hapa watu wanajadili siasa na uchumi
Iimeandikwa wapi China kuchukua...blah blah, ama ni yale mnaomba ya fanyike.., Kenya sio size yenu ata mkulima anashika ndege.., 😂 😂Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
View attachment 1948738View attachment 1948739
Kwa hilo gazeti umeona wameandika anything kuhusu bandari ya Mombasa kuchukuliwa? vilaza kwa ubora waoMkuu,jibu hoja, hilo gazeti hayo maneno tumeyaandika sisi?
Acha viroja na hasira,jibu hoja mbona kama unapanic broo?
Unafikiri mwerevu kama mimi naweza kufurahia mali ya mwafrika imilikiwe na asiye mwafrika kimabavu kama wanavyotaka kufanya hao wachina?
propaganda hiyo.., mimi naumbua propaganda hadi kwenye mishipa yenu.., soma taarifa kamili 👇 👇 👇 , nionyeshe sehemu China wamesema watachukua bandari ya Mombasa? Kenya sio fukara kama Tanzania ya propaganda, mkulima anawadai., jiangalie kwanza..,Hiyo ndo habari ya mjini tulikuwa tunasikia tuu huko zambia wachina wameshika airport kwaajili ya deni sasa limemkuta jirani. Tuwe makini na wakopeshaji hawa wanaoganga njaa kama uchina.
View attachment 1948738View attachment 1948739
Kama nakuona unavyotapatapa siku zote muda ni mwalimu mzuri sana .Endeleeni kujisifia kila kitu sie watazamajiSwali haliwezi kujibiwa unavyotaka wewe, unajibiwa kama lilivyo, nimefanya kukukumbushia tu kwamba mumejaza server za watu na hizi story lakini sisi tunaendelea kupiga hela za SGR na deni linaendelea kupungua....
Nyie huko miaka kadhaa sasa tangu muambiwe mtaanza kutumia SGR na mpaka leo bado Mturuki anachimba mahandaki huko keshajichukulia hela mpaka basi.
Ona mnavyotesa wasafiri jameni...bibi na ndala anahangaika kupitia dirishani, maisha ya dhiki sana hayo.
Kama nakuona unavyotapatapa siku zote muda ni mwalimu mzuri sana .Endeleeni kujisifia kila kitu sie watazamaji
Ndio jibu la hoja iliyopo mezani?Swali haliwezi kujibiwa unavyotaka wewe, unajibiwa kama lilivyo, nimefanya kukukumbushia tu kwamba mumejaza server za watu na hizi story lakini sisi tunaendelea kupiga hela za SGR na deni linaendelea kupungua....