Tetesi: China inajaribu kujenga Kambi za Kijeshi Tanzania na Mozambique. Mamlaka zadai hazina Taarifa hizo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
54,503
64,581
Taarifa hii iliyonukuliwa kutoka jarida la Bloomberg linadai kwamba China iko mbioni kujenga Kambi za Kijeshi Tanzania na Mozambique.

My Take
Huenda ni porojo na propaganda za USA maana Mamlaka za Tanzania na Mozambique zimesema hazijui taarifa hiyo.

========

๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ธ๐˜€ ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜† ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ฒ ๐—ถ๐—ป ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐— ๐—ผ๐˜‡๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—พ๐˜‚๐—ฒ​

September 6, 2024

China is currently attempting to secure military port access in Tanzania and Mozambique โ€” on Africaโ€™s eastern coast โ€” according to Bloomberg.

It has also sought to secure status-of-forces agreements with both nations that would provide a legal basis for stationing Chinese troops, people familiar with the situation said.

While a Chinese military presence on Africaโ€™s eastern seaboard would likely be less worrying for the United States than Atlantic access, it would enhance Chinaโ€™s ability to project power into the Indian Ocean, as well as in the Middle East.

The waters around southern and eastern Africa have also become more strategically significant as Houthi militant attacks on shipping in the Red Sea force many commercial vessels to sail around the southern tip of Africa.

China conducted trilateral military drills with the two countries last month.

Tanzanian Defence Minister Stergomena Tax and Mozambican Transportation and Communications Minister Mateus Magala both said that theyโ€™re unaware of any plans to build bases or station Chinese troops in their respective countries.

Source: Tanzania Business Insight
 
Taarifa hii iliyonukuliwa kutoka jarida la Bloomberg linadai kwamba China iko mbioni kujenga Kambi za Kijeshi Tanzania na Mozambique.

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1832096878969716921?t=kcEUZzEspJFr_Vwdm34smw&s=19

My Take
Huenda ni porojo na propaganda za USA maana Mamlaka za Tanzania na Mozambique zimesema hazijui taarifa hiyo.

Siyo Porojo, hiyo ni very strategic location, kumbuka hapo ni mwambao wa bahari ya hindi, kuna mazao ya kimkakati ya kilimo na ya bahari, nchi zote mbili zina bandari za kimkakati kiasi cha kustahili China kuweka kambi pale ili kulinda maslahi yake. Fuatilia jinsi China na India wanavyokabana kwenye Marine trade
 
Niliposoma tu habari za ushirikiano na blahblah za misaada ya miundombinu nikajua tu hapa kuna jambo.. Mchina hanaga Kazi ya hasara
 
Back
Top Bottom