China ilipanga kumpa USA wanawake milioni 10

Billy Kimber

Member
May 20, 2022
89
193
Mwaka 1973 Kiongozi wa kipindi hicho wa China Mao Zedong wakati akiwa kwenye mkutano na Katibu Mkuu Kiongozi wa Marekani Henry Kissinger alipendekeza kutoa takribani wanawake milion 10 wa kichina kwenda Marekani.

Mao aliamini kuwa China ni nchi masikini na ina wanawake wengi ambao ni mzigo kwa taifa.Lakini pia aliamini kwa kufanya hivyo kutachochea biashara baina ya nchi hizo.

Wakati wa maongezi Mao alianza kwa kutoa ofa ya maelfu ya wanawake kwa USA lakini baadae alipandisha dau na kuahidi kutoa wanawake wa Kichina milioni 10.

Kissinger aliishia kucheka tu
images%20(4).jpg
images%20(5).jpg
 
Simba wanakuja na thread za ajabu ajabu ili tu kuziba aibu iliyowakumba Mwanza.
Mtu akisoma Kwa haraka haraka hii comment yako anaweza kuhisi umeandika ujinga na pumba lkn akitulia akasoma Kwa umakini kumbe kweli umeandika uozo..Simba inakuwaje kwenye mada ya China na USA ?
 
Mtu akisoma Kwa haraka haraka hii comment yako anaweza kuhisi umeandika ujinga na pumba lkn akitulia akasoma Kwa umakini kumbe kweli umeandika uozo..Simba inakuwaje kwenye mada ya China na USA ?
Pole mkuu unaumia ukiwa wapi
 
Back
Top Bottom