Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,073
- 2,450
Tunapotoshana pia tukijadili mikataba ambayo hatujaisoma. Weka wazi. Ukweli hauwezi kupingwa. Kilichoandikwa kitajulikana.Hapo juu ulidai wanataaluma ndio mafisadi na walitufikisha hapa. Sasa kama hatuamini wasomi ndio tutaamini watu wa mtandaoni ndio wana uelewa na uzalendo?
Kidogo ungesema iundwe kamati kma ya prof.Osoro ipitie mikataba na itoe mapendekezo ila sio mkataba uwe mtandaoni wkt 90% ya waTZ hawana elimu na experience na sheria za kodi na mikataba.
Tutafanya subjective interpretation. Mfano economic benefit unakumbuka tulivyopotoshana humu mitandaoni kuwa ni faida (Mapato Ukitoa gharama za undeshaji) 50 kwa 50!!
Ndio mnataka interpretation za hivyo? Au ni bora zipite kwa tume yenye brains za kuweza kuchambua the ripoti yao ndio ije public