China hali yazidi kuwa tete, watia mji wa pili kwenye lockdown - maana Corona imerudi ikiwa na hasira

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,402
Hiki kirusi hakieleweki kabisa, yaani ukitulia kidogo tu na kulegea, kinaibuka full tena kwa hasira zaidi ya awali...

  • The city of Jilin enforced the lockdown on its 4.5 million residents Wednesday
  • Shulan, a city of 600,000 people, was put under lockdown over the weekend
  • The cities of Jilin and Shulan are located in the same northwestern province Jilin
  • Comes as a local infection cluster sparked fears of a second wave of outbreak
  • Here’s how to help people impacted by Covid-19
A second Chinese city has gone into draconian lockdown today after the emergence of a local coronavirus cluster that has fuelled growing fears of a second wave of infections in China.

The north-eastern city of Jilin, with a population of more than four million, shut down its borders and suspended public transport on Wednesday. All residents are not allowed to enter or leave their residential compounds unless it is necessary.

All cinemas, indoor gyms, internet cafes and other enclosed entertainment venues in Jilin must shut immediately, and pharmacies must report all sales of fever and antiviral medicines, the Jilin government said in a statement.

China puts a second city under lockdown in the space of four days
 
Mwendo wa kulock na unlock.

Dunia ipo kwenye reset fulani huwa inafanya kila baada ya miaka 200, hamna jinsi tutakwepa hiki kitu, lazima tufe wengi kisha wachache watakaobaki waendeleze kizazi, itabidi mataifa yote duniani yaige Tanzania...yaani yote ruksa hamna cha lockdown wala nini, wakujifia ajifie na atakayebaki hai atunze kumbukumbu ya haya yote.
 
A second Chinese city has gone into draconian lockdown today after the emergence of a local coronavirus cluster that has fuelled growing fears of a second wave of infections in China.
hali bado ni tete. bado kuna haja ya kuwa vigilant na sio kubweteka kwamba hali imeshatengemaa. Kuna watu walifanya tafiti wakasema coronavirus kutulia sio chini ya miezi saba
 
Dunia ipo kwenye reset fulani huwa inafanya kila baada ya miaka 200, hamna jinsi tutakwepa hiki kitu, lazima tufe wengi kisha wachache watakaobaki waendeleze kizazi, itabidi mataifa yote duniani yaige Tanzania...yaani yote ruksa hamna cha lockdown wala nini, wakujifia ajifie na atakayebaki hai atunze kumbukumbu ya haya yote.
China pamoja na sheria zao kali lkn wamechemka huu ugonjwa cha msingi kufuata ushauri wa kitalamu (kuvaa barakoa,sanitizer,kupunguza misongamano isiyo ya lazima) na maisha ya endelee kama kawaida.

Belarus wao hamna cha Partial wala total lockdown,maisha yana endelea kama kawaida pamoja wana visa zaidi ya 24000.
 
The north-eastern city of Jilin, with a population of more than four million, shut down its borders and suspended public transport on Wednesday. All residents are not allowed to enter or leave their residential compounds unless it is necessary.
Hakuna haja ya haraka haraka ya kutoa lockdown. Hali bado haijatengemaa. Huwezi kuwa na maambukizi zaidi ya elfu themanini halafu uka-lift lockdown kizembe zembe hivyo
 
Dawa ni kuachana na vitu vyote vinavyo haribu kinga ya miili yetu,ikiwepo 5G.Huyu ndiye mchawi makubwa.Tena kama watu wakikubali chanjo ya C-19,ndio kazi itakuwa imekwisha.Tatizo ni kwamba na sisi ni mapoyoyo mno,hata vitu vinavyotumaliza hatuvijui.Kila wanachotuletea,tunapokea tu,Hovyo kabisa.
 
Dunia ipo kwenye reset fulani huwa inafanya kila baada ya miaka 200, hamna jinsi tutakwepa hiki kitu, lazima tufe wengi kisha wachache watakaobaki waendeleze kizazi, itabidi mataifa yote duniani yaige Tanzania...yaani yote ruksa hamna cha lockdown wala nini, wakujifia ajifie na atakayebaki hai atunze kumbukumbu ya haya yote.
Umesema kimzaha mzaha lakini binafsi naona uko sahihi kabisa...lockdown haiwezekani...Nchi kadhaa za ulaya zina-unlock wakati maambukizi yanaongezeka
 
Tukubali ama tukatae Ila ukweli unabaki palepale " lockdown sio dawa ya corona,
Njia pekee ni kutafta chanjo kwa haraka na ufanisi.

Pia haina budi watu kufanya kazi sababu hata wakizuiwa ndani kadili
mda unavyozidi kwenda watu watakosa huduma muhimu na kufa kwa njaa.

Sasa ipi bora ufe kwa kukosa huduma muhim ukiwa umekandani ama ufanye kazi
huku ukijilinda na ugonjwa?
 
Ukiambiwa kuwa Tanzania watu wanacheza pool table, bao, draft e.t.c usiku na mchana mitaani unaweza kufikiri kuwa unataniwa!
Hivyo tu!? Sisi had siku za weekend kuna mechi ya mpira wa miguu mtaan kwetu. Na akuna aefikiria kuhusu Corona tena
 
Dunia ipo kwenye reset fulani huwa inafanya kila baada ya miaka 200, hamna jinsi tutakwepa hiki kitu, lazima tufe wengi kisha wachache watakaobaki waendeleze kizazi, itabidi mataifa yote duniani yaige Tanzania...yaani yote ruksa hamna cha lockdown wala nini, wakujifia ajifie na atakayebaki hai atunze kumbukumbu ya haya yote.
Duh hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom